Eumed15
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 188
- 289
MOIMwenye kujibu suali/swali la Kiongozi Washawasha ni nani?
Ameuliza, Muhimbili ina maana gani?
Jibu, Muhimbili jina hilo limetokana na neno la Kizaramo ambalo ni MIBILI maana yake ni kiungo cha Mtoto na Mama yake tumboni