Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wengi wakiwa na ushirikiano hufanikiwa.
Hufanikiwa kwasababu ya nidhamu.
HARUFU mieleka ni burudani kwahiyo kila kitu kiko kimipango kuanzia watangazaji,marefa,wanamieleka na wote watakaoalikwa kuwepo kwenye ulingo au hata pembeni,si unamwona Rand Orton RKA anavyomzingua baba wa John Cena jukwaani au anamtimbia mpaka nyumbani kwake?
Marefa huwa wanawasiliana vizuri na wanamieleka kwa ishara au huwapa chochote kimtindo wawapo ulingoni kama anaweza maliza pambano au mnaendelea kutoa burudani kama mmoja wao anasikia maumivu kabla ya muda muwafaka uliopangwa kumalizika kwa pambano!
Pia huwa wanasaidiana ili wasiumizane sana kwa kusogeza kiti n.k
Wanamieleka hawa ndio wenye haki ya kuvuruga script yoyote John Cena, Rand Orton RKA na Roman Reigns. Waliobakia ukienda kinyume na script basi unapewa adhabu au ukiwa na nuksi basi unafukuzwa.
Kwa mfano The Undertaker hatakiwi kucheka akiwepo ulingoni ila kama binadamu sometime huwa anacheka kimtindo sana ukiwa mgema ulimbo hauwezi kumshtukia.
Namshukuru Mungu mwaka 2007 niliwashuhudia live walipokuja Johannesburg RSA
Nalog off  Z
 
RSA Wasanii, Wanamichezo, Watu wengi maarufu/Watu mashuhuri na kadhalika wanamiminika kule, sijui kuna siri gani.

Kiongozi, ahsante sana kwa kunipa mawili machache kuhusiana na Mieleka. Kwa kweli haya yote sikuwahi kuyafahamu
 
Kuyafahamu haya ni suala la kuwafuatilia
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom