Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Walio wengi kwenye thread hii wamekimbia,mimi ndiyo mshindi!
 
ninajikojolea haswa kila sekunde ninayoangalia au kusikiza bunge,ivi wabunge wanawasha nini?
 
aibu siyo kwa serikali kumtesa dr ulimboka, aibu ni udhaifu wa serikali kukaa kimya mambo mazito yanapojitokeza katika jamii
 
Aibu sana watanzania waliosoma wakiwa hawatumii busara katika maamuzi ikiwa wao ni wasomi
 
Wasomi wanyonge wa2mwa wa elimu zao...hawaoni thaman yao kama hao wanaoharbu mchezo
 
Hazitoshi vichwani mwao ndo maana wanaharbu mchezo- elmu itusaidie
 
Back
Top Bottom