Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu haishi mpaka ujisafishe kwa mema
Mwisho wa ubaya aibu.
mema yatapatikana vipi wakati hata kusoma na kufata masharti huwezi.
Aibu kwa kuwa na rasilimali,Mlima,Bandari,Mbuga Ardhi,Kila kitu ila bado tuu Maskini,tuokoe ee Mungu
masharti ndio ya muhimu katika mchezo huu but watu wanashindwa cjui kwann.