Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wagerase ni watugani?. Nimesoma comment had mechoka mkovizur kupokezana vijiti. Japo wapo walio haribu

Sent using Jamii Forums mobile app
Walioharibu hawana tofauti na Wagerase ambao maana yake ni "wale wanaotoka kupigana", maandishi mengi ya Agano Jipya yanarejelea "Nchi ya Wagerasi" au "Wagerasi" badala ya Wagerase. Gerasa na Gadara yote ilikuwa miji ya mashariki ya Bahari ya Galilaya na Mto Yordani
 
Back
Top Bottom