Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Msimu uliopita mliyakoroga na msimu huu ndo mtayakoroga zaidi. Teh teh.hiki kilichotokea leo Kocha naye ana asilimia zake katika kaiua Simba, kumwanzisha msafiri MZAMIRU na kuingia KIBU, Ngoma naye jua lishazama ila timu ipo vizuri siyo ile ya kuungauunga ya msimu uliyopita