Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ccm bila nyie tungekuwa wapi au kwasabbu kambarage amelala ardhni nn?
 
it can be done through self realization.
 
nayo imeundwa na silabi mbili, ila naona hakuna neno complex kuliendeleza kama x
 
X kitu gani, hili gemu naliise maana lilianza nikiwa mjamzito, sasa mtoto anamwaka na wiki, mpeni huyu mtoto hy zawadi.
 
X kitu gani, hili gemu naliise maana lilianza nikiwa mjamzito, sasa mtoto anamwaka na wiki, mpeni huyu mtoto hy zawadi.

Zawadi atapewa wa mwisho. Kama huyo mtoto ana bahati labda game litaendelea mpaka atakapokuwa memba wa jf na atashinda yeye.
 
Nani!?Inasemekana atauzwa club nyingine lakini haijajulikana ni wapi bado...ila Gunners watatisha 2013/14
 
Back
Top Bottom