Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wajinga ndio waliwao mnazuga mchezo kumbe mnatulea c hasa kweli njaa ni nusu ya ukafiri kutwa hutakosa wakumlaumu kwa uzembewako mwenyewe wakutegemewa kufanyiwa kilakitu .
 
mwarobaini ilisemakana ni dawa ya kila ugonjwa, ila kwa sasa habar ya mjini ni mafuta ya ubuyu
 
Ubuyu huu unaowekwa rangi tofaiti tofauti labla ya kumung'unywa au mwingine?
 
hela hiyo hiyo inaweza ikakuletea matatizo mengi kuliko furaha
 
Lami ya Ubungo mataa imechongwa kwa ajili ya ujio wa Obama
 
Wengine nao hawajishughulishi ndio maana wanakufa njaa
 
Back
Top Bottom