Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Yesu Kristo ndo njia pekee ya kuuona ufalme wa Mbingu
 
Mbinguni siyo kwa babu yako lazma uyakane yote ya dunian na kufanya yalio mema sikuzote za uhai wako....
 
Iluka au Itigi ? Kwani ukifika Itigi basi ujue umekaribia Salanda na Salanda bwana si mchezo. Mara ya kwanza kufika Salanda mchana saa saba nikutana na yuke binti...
 
Ukweli sikuzote utabaki kuwa Ukweli japo haupendwi na wale wanaoupindisha siku zote huishia kuumbuka machoni mwa hadhira ,ona sasa ukweli wa jasusi ambae anapasua vichwa vya mabosi wake CIA huyu ni Edward snowden.
 
Mengi maneno ctak nikaona bora nikae kmya lakn binadamu hawaishi kunichokoa,hakuna jema kwao..
 
Bahati humwangukia mwenye bahati kama mie.
mie, bahati sina, lakini, nafikiri ndio wa mwisho kwahiyo ni mshindi, ah nafikili pia nitakua mwanzoni kuingia Mbinguni.
 
Back
Top Bottom