Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

fisimaji ni myst.. sidhani kama wana exist kweli
 
Utaona kama Thread hii itaisha, labda FFU waingilie kati hii vurugu kwani kila m2 anataka ushindi. Teh Teh
 
hii kweli kali, kuna kipindi nilitangaza mshindi ila watu wakaendelea kucomment down. kama vipi tuendelee tu au tuweke milestone, mshindi atakua mtu atakayetoa comment ya 2000
 
Inoge ni neno la kiswahili linaloonyesha utamu katika maongezi.
 
Diamond chafu zazidi kuua watu huko DRC. Kama vipi tufike Mpaka Kigali kumtoa Muuaji Kagame
 
Back
Top Bottom