Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchezo wa kibaba baba na kimama mama
mama na baba nawependa kuliko hata demu wangu
Kiasi ambacho siwezi kula bila ya yeye
Milele na milele shindano hili lidumu
Gani ni gani?
Swali langu kwako wewe H.O.E
H.O.E ni binti mrembo na mwenye kuvutia
Kuvutia peke yake haitoshi inabidi awe na maadili mema pia
Pia ni mtulivu na mwenye tabia ya kuridhisha
Kuridhisha kwangu kiuwezo ndo kumemfanya yule dada bosi wangu anikubali
Yake yanamshinda! Yangu ataweza?