Kalicharan
Member
- Dec 20, 2012
- 98
- 13
Wanatumaliza ila bado tupo wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimaendeleo bado tupo nyuma sana ukilinganisha na wenzetu wa kenya walipofikia kiviwanda!
Kiviwanda tutaendelea pale tu kutakapokuwa na umeme wa uhakika nchini.
Nchini Tanzania ilo.swala haliwezekani. Labda tubadirishe mfumo mzima wa uongozi.
uongozi nao kuubadili haraka haiwezekani kwasababu watanzania wengi hawana Elimu
Elimu si tatizo, tatizo ni mfumo unaotumika mashuleni hauna msaada kwa mwanafunzi husika
Husika katika kuinua kiwango cha elimu ili sikumoja nasisi tuweze kusema uongozi huu ni bora .
Bora tukubali kuwa elimu ya tanzania kuanzia ya awali ina matabaka mawili, ya kiswahili na ya kizungu.
Kizungu tunachofundishwa mashuleni hakitasaidia kututoa kwenye huu umasikini uliokomaa.
Kudidimizwa huwa ni tabia ambayo siipenda kwelimnalilia matatizo tu, hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kuzidi kudidimizwa!
Kudidimizwa huwa ni tabia ambayo siipenda kweli
Kweli tutapat katiba mpya kwa staili ya wajumbe hawa?