Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidii yako ndiyo itakayo kufikisha utakapo
Utakapo kufika si rahisi bila jitihada za ziada
ziada ni mtoto wa mwsho wa mzee mkoko.
mkali umekua moto au mkasi
mkasi ni kipindi cha salama jabir huoneshwa eatv
Eatv inapatikana katika nchi 3 tu na siyo zote 5.
Kabsaa au kabisa, Kuna haja ya marekebisho
marekebisho ya katiba yamechukua muda mrefu
mrefu kwenda chin ni wew.
wewe ni mrefu kwenda wapi
wapi tupite
tupite twende sehem gani
Hawakunogesha kwani wao ni chakula