Mkumba Vana
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 416
- 124
UKAWA ndio chama kipya cha walimu au?
Au ndicho kipya katika anga la siasa za bonge la katiba ya Tanganyika .............,,,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA ndio chama kipya cha walimu au?
Au ndicho kipya katika anga la siasa za bonge la katiba ya Tanganyika .............,,,.
Tanganyika na Zanzibar tunapata nini tukiziunganisha?
shaka zulu alikuwa shujaa wa south
yanga wanachukia rangi nyekundu ila hawaichukii elfu kumi....
kumi ndo kila kitu hadi mtoto anaijua.
Anaijua kweli kama nyonyo ya mamaye
Mama yake diamond anapenda mambo ya ujana
Ujanani kula bataUjana hata kama anaupenda lkn hajawafikia wadhungu ambao sasa wamegundua ukimwekea panya mzee damu ya panya kijana, anarudia hali ya ujanani.
Ujanani kula bata
Topic hii nitamu sana wasio elewa wailize tume ya wariobaMzima wa Akili ni lazima uchangamshe mawazo kwa hii topic
Warioba kailetea janga sisiemuTopic hii nitamu sana wasio elewa wailize tume ya warioba
Warioba kailetea janga sisiemu
Warioba kailetea janga sisiemu
sisiemu ndio chama cha Rais