dreadnaughty
Member
- Apr 11, 2014
- 7
- 2
kaliingia kabwana kamoja chumban mwa mamako na dazani ya kondomu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kondomu hizuii ukimwi
Ukimwi sio ishu , ishu kisukari
UKIMWI ni ugonjwa au?kondomu hizuii ukimwi
kisukari ni ishu.
Viungo vinafanya wali kuwa pilau
Utachekesha lakini watu hawacheki
Hawacheki...heheheh maisha yashatawaliwa na dengue
Dengue ndio habari ya mjini kwa sasa..
Mwili hasa ule unaojengwa na mihogo
Sana sana ukiila na chai ya maziwa
Maziwa yenyewe yawe ya mbuzi