janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Ivi mimi ndio niwe wa mwisho
mwisho sio mzuri rafik me nashauri uwe wakwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi mimi ndio niwe wa mwisho
mwisho sio mzuri rafik me nashauri uwe wakwanza.
wakwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza tambua imeandikwa hivyo.
Hapa hakuna mwisho
hivyo ndivyo inapokuwa kuweka msisitizo kitu
fulani
Mwisho mbona haufiki tu
Kaubongo ndio ugonjwa gan uo?? au ndio after dengue??
dengue ndo uliyougua?
Confused ni neno la kiingereza ambalo litachafua mchezo
🙂🙂🙂🙂 Kamdori ni neno lililofutwa mda mrefu sana na BAKITA