Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

Kam wizauti
...
Weekend hii kwanini tupoteze muda kusasambuana... Kitu shwaaap kwenye mfereji wa Suez... then ndo tunaangalia vilivyomo kwenye vyupa na juu ya mkaa wa moto

Aahahahahaaa

Babuuuu njoo tuning’inie wote hapa Bongoyo.
 
Kabla ya salamu tuanzie hapo kwenye list!.. list ipi..??

Aahahahahahahhaaaa kuna joto kali humu tangu jana jioni.

Eeehhh banaa mambo ya kuongea kwa codes mi sijazoea.

Achana na hiyo habari tuendelee na yetu.

Twende zetu tukale samaki wa kuoka beach na ice cream za tangawizi
 
Nenda mwenyewe mi sina hela nipo zangu skani nakunywa juisi kola na komamanga.
 
Nenda mwenyewe mi sina hela nipo zangu skani nakunywa juisi kola na komamanga.

Kwani nimekwambia unalipa wewe???!

Haya kama umesusia ofa yangu. Usiku mwema πŸ˜†
 
Kwani nimekwambia unalipa wewe???!

Haya kama umesusia ofa yangu. Usiku mwema πŸ˜†
He he! Hata nikikubali kwani sikujui!.. hukawii kunichenjia na kuniangalie Lile jicho chokozi!.. hapo hata siulizi Nani atalipa wallet yenyewe itatikisika..πŸ˜‚
 
He he! Hata nikikubali kwani sikujui!.. hukawii kunichenjia na kuniangalie Lile jicho chokozi!.. hapo hata siulizi Nani atalipa wallet yenyewe itatikisika..πŸ˜‚
Kibeeree banaa, usihofu navaa miwani yenye lenzi ya darubini hivyo hutohadaikwa na mboni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Kibeeree banaa, usihofu navaa miwani yenye lenzi ya darubini hivyo hutohadaikwa na mboni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‹πŸ˜‹
Nenda tu na asprin mi kwa Leo nitaendelea na juisi kola yangu.. miwani kitu gani bhana si utaivua tu haichukui hata sekunde.. naona unaushika u Eva ili uniangamize adam..πŸ˜‚
 
PISI NI NENO AMBALO LIMEKUJA KUPUNGUZA UKALI WA NENO MDANGAJI,NA MDANGAJI NI NENO LILOKUJA KUPUNGUZA UKALI WA NENO KAHABA,

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Nenda tu na asprin mi kwa Leo nitaendelea na juisi kola yangu.. miwani kitu gani bhana si utaivua tu haichukui hata sekunde.. naona unaushika u Eva ili uniangamize adam..πŸ˜‚

Afadhali maana ungetuzibia kufanya yetu πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa maono yangu naona kama unalazmisha kutembea wkt hata hujakaa,anza na pisi za kawaida huku ukpandisha vyeo mdogo mdogo kama jeshin,all in all huu ndo uzi ulionifurahisha tangia kujiunga jf,cjajua uliuandaa kwa cku ngap na ulifanya editing mara ngap
 
Mkuu mi pisi nataka pisi Kali sitaki kuja kujilaumu! Ntakomaa nao mpk nipate mmoja wao tu na nikimpata nitamganda mpk ahisi kapata zimwi limjualo halimkuli likamwisha!..

Mkuu huu Uzi niliandika naweza sema nilichukua nusu saa tu.. mbona mi nauona wakawaida!.. Kuna nyuzi yangu ya "safari kwenda mirihi (a journey to mars)" hiyo ndo ilinisumbua we i search tu ipo jamii intelligence kule.
 
a Haha!pisi kali zinachangamoto yake,bora ukaaanzia uswahilin kupatq experience taratiibu natumai baada ya hapo hizo pisi kali utaziona kama vipisi tu,
Mbali na hilo nitaenda kule intelligenc nijionee piq maana huu uzi umeuwasilisha kwa njia ya kipekee sasa cjajua w n mtunzi au una gain momentum via kupost uzi kamq hiz ili kutafuta ukubalifu kwa unachoenda kuandaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…