Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

a
Haha!pisi kali zinachangamoto yake,bora ukaaanzia uswahilin kupatq experience taratiibu natumai baada ya hapo hizo pisi kali utaziona kama vipisi tu,
Mbali na hilo nitaenda kule intelligenc nijionee piq maana huu uzi umeuwasilisha kwa njia ya kipekee sasa cjajua w n mtunzi au una gain momentum via kupost uzi kamq hiz ili kutafuta ukubalifu kwa unachoenda kuandaa?
Wewe nenda sehemu ya ku search andika hivyo nilivyokwambia utakuja..

Vyema Kama unaona wa kipekee lkn kilamba mwiko hapa naona normal..😂
 
Tafuta mwanamke wa kati au kawaida alafu mtengeneze apendeze wale wote waliokukataa watakutafuta alafu usiwakubali tena
 
Habari zenu watu..?

Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text "we kibe haujambo" inaniuma sana.. tuachane na hilo

Kuna pisi moja kali niliiandikia barua.. nilijipinda mtoto wakiume na mwandiko wangu wakulala nikijitahidi kuusimamisha lkn yote hayo hakuona binti yule!.. kwenye barua nikaweka na msimbazi mmoja ili kumshawishi kusoma muandiko wa komamanga mimi..! Lkn pamoja na yote hayo alinijibu kwa kuandika nyuma ya barua "SI DATE NA POSTA MIMI!" kilichoniuma zaidi pesa alichukua hakurudisha!.
Nikaachana nae japo sikulala siku tatu mpk mbu walinizira kuniuma nafikiri hata wao pia walikuwa wakinione huruma!..
Mbona uajihangaisha hivyo? We tafuta pesa watajileta.
Unajua mabinti ukiwa na pesa wanaliwa kirahisi hata bila kula hiyo pesa uwa hadi najiuliza inakuaje.
Yani ana jifeel proud kuwa na bwana mwenye gari kali utadhani kali la kwake, anajisifu kuwa na bwana mwenye nyumba kali utadhani nyumba ya kwake, mwisho wa siku analiwa bila hata kupewa chochote zaidi ya kuambuliwa kupiga selfie akiwa kwenye gari na sebuleni.
Ni kama vile fisi, inasemekana fisi akimuona binadamu anatembea huku akiswing mkono uwa anahisi utandondoka hivyo anamfuata kimya kimya kwa nyuma mwisho wa siku binadamu anafika home na kuzama ndani fisi haambulii kitu.
 
Tafuta mwanamke wa kati au kawaida alafu mtengeneze apendeze wale wote waliokukataa watakutafuta alafu usiwakubali tena
Tatizo moyo unata nilipopenda!
 
Mbona uajihangaisha hivyo? We tafuta pesa watajileta.
Unajua mabinti ukiwa na pesa wanaliwa kirahisi hata bila kula hiyo pesa uwa hadi najiuliza inakuaje.
Yani ana jifeel proud kuwa na bwana mwenye gari kali utadhani kali la kwake, anajisifu kuwa na bwana mwenye nyumba kali utadhani nyumba ya kwake, mwisho wa siku analiwa bila hata kupewa chochote zaidi ya kuambuliwa kupiga selfie akiwa kwenye gari na sebuleni.
Ni kama vile fisi, inasemekana fisi akimuona binadamu anatembea huku akiswing mkono uwa anahisi utandondoka hivyo anamfuata kimya kimya kwa nyuma mwisho wa siku binadamu anafika home na kuzama ndani fisi haambulii kitu.
😂😂
Mkuu hii swala lipo kwa zile pisi mazozitaka!.. mi napenda Toto nzuriiii Tena sahivi nataka mzungu maana Hawa waswahili naona hatuelewani ndo nipo napiga msasa English yangu ikae sawasawa ili zile yes no na lilo bil nizisikie vizuri..😂
Sitaki dunia inipite sikuja kuuza sura hapa duniani..😜
 
Habari zenu watu?

Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text "we kibe haujambo" inaniuma sana.. tuachane na hilo

Kuna pisi moja kali niliiandikia barua.. nilijipinda mtoto wakiume na mwandiko wangu wakulala nikijitahidi kuusimamisha lkn yote hayo hakuona binti yule!.. kwenye barua nikaweka na msimbazi mmoja ili kumshawishi kusoma muandiko wa komamanga mimi..! Lkn pamoja na yote hayo alinijibu kwa kuandika nyuma ya barua "SI DATE NA POSTA MIMI!" kilichoniuma zaidi pesa alichukua hakurudisha!.
Nikaachana nae japo sikulala siku tatu mpk mbu walinizira kuniuma nafikiri hata wao pia walikuwa wakinione huruma!..

Wapili huyu alikuwa mpole nikaona hapa nimepata toto moja zuri.. nikabadili mbinu nikaona nitumie face to face approaching nisijeitwa tena posta!,so nikaanza mazoezi ya kumtongoza nikaandika na essay kabisa nikaimeza kichwani.. nikaenda mcheki sasa asalaleee lile jicho lake tu lilitosha kunisahaulisha essay zote nilizokuwa nimemeza! nilikuwa nakumbuka kabisa baada ya kumwambia "Mambo mrembo? Then ningemwambia umependeza!"

Baada ya hapo ndo ningeanza tiririka lkn dah! Niliishia kumuuliza tu kwenye kampeni za CHAUMA utaenda kula ubwabwa!! Mpk alinishangaa.. sijui kichwa kilipata shida gani.. hilo likapita nikajipanga tena upya kumtokea mara hii nilimfata nimeandika kabisa essay nikaanza kumsomea mbele yake lkn asalaleee komamanga la watu nilianza kutetemeka mpk sauti nayo ilikuwa ikitetemeka!. Ndugu nilichekwa mimi.. ikabidi nihairishe zoezi sahivi nikikutana nae anacheka tu na ameshanipa jina Kaka wa mikaratasi na anajua ilikuwa ni joke kumbe nilikuwa namaanisha. Huyo nae nikaachana nae..

Watatu sasa huyu nae ndo wale wanaitaga black beauty.. Toto fulani hivi kama twiga aliesimama kwenye mlima Kilimanjaro!
Hizi ndo zile pisi wanaita mboga saba! Unaweza hata ombea zamana na ukapata!.. komamanga la watu nikaona hapa ndo pakujitosa nikaakti kama gentleman kumbe lamba mwiko fulani tu!.. huyu kwanza nilianza pata tabu kwenye kiingereza chake tu!.. Mi naskia katamka "LILO BIL" hapo nitahangaika kujua anamaanisha nini kumbe kasema little bit!!.. hapo tu nikaanza kujiuliza hivi nimekuja kutongoza ama kutafuta changamoto!!.. ikabidi nijipe moyo tu nitatongoza hivyohivyo.

Nikajipanga siku ya siku nikamtoa out,kula sana mazagazaga kunywa sana ma wine,wisky n.k sasa kabla sijamuambia dhamira yangu akanitaka tukaogelee kulikuwa na swimming pool!. Na kuogelea sijui lkn nikaona hapa nitaonekana boya! Wacha nichukue point za umahiri asalaleee.. laiti ningejua maji ni nini walahi nisingeenda kuogelea mule!,nikajitupa kwa kujifanya mbobezi na ile step ya kwanza yakutumbukia nilienda kama mshale na hapo ndipo nilipokosea!! Naomba nisiendelee tumshukuru tu aliejuu kuwa nilitoka mzima!.. so hapo sikumuambia dhamira yangu msala wa kutumbukia kama mshale na kunywa vikombe uliharibu!

Nilimtongoza kwa sms tu na niliandika li essay likubwa lkn alivyojibu sasa hapo ndo nilikata tamaa! Hata hakujisumbua aliandika hivi tu "UNIKOME KAMA ULIVYOKOMA KWENYE SWIMMING POOL!!".

Ndugu zanguni mi staki kuwa padri wala mtumishi.. hebu niambieni ati Nakosea wapi mbona nakataliwa hivi..??
Silaha pesa ...... [emoji23][emoji23]
 
Nmekunyanyulia mikono

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom