Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Eti kiberenge
Tatizo lako hujaweza ku socialize na vijana wenzako ukapata tips za kukusaidia kupata mbinu za ku wa approach wadada.Hiyo mbinu unayoitumia ya kua dika mashairi ni ya enzi zile za darasa la saba ambapo barua tulikuwa tukimwandikia binti na kuweka poda ili akiwa anasoma asikilizie harufu nzuri ua podaNakazia kwenye kukataliwa[emoji23][emoji23]
Sasa mpendwa mbona umeniqote mimi?😂Tatizo lako hujaweza ku socialize na vijana wenzako ukapata tips za kukusaidia kupata mbinu za ku wa approach wadada.Hiyo mbinu unayoitumia ya kua dika mashairi ni ya enzi zile za darasa la saba ambapo barua tulikuwa tukimwandikia binti na kuweka poda ili akiwa anasoma asikilizie harufu nzuri ua poda