Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

Nakazia kwenye kukataliwa[emoji23][emoji23]
Tatizo lako hujaweza ku socialize na vijana wenzako ukapata tips za kukusaidia kupata mbinu za ku wa approach wadada.Hiyo mbinu unayoitumia ya kua dika mashairi ni ya enzi zile za darasa la saba ambapo barua tulikuwa tukimwandikia binti na kuweka poda ili akiwa anasoma asikilizie harufu nzuri ua poda
 
Sasa mpendwa mbona umeniqote mimi?😂
 
Back
Top Bottom