Waromo ni wenye matatizo mengine, na ndiyo unaosikia kila siku wanakamwatwa kama wahamiaji haramu. Kwa hoyo, tuombe sana mungu ubaguzi usihubiriwe katika nchi yetu, uwe kwa njia ya kidini, elimu, fursa za uongozi na mambo mengineEthiopia waweke sawa huo mfumo wa shirikisho ili wa-Tigray wafaidi vizuri inaonekana hata wa-oromo nao wana malalamishi.
Kuna tatizo kwa serikali ya Ethiopia kwani pia ni wababe sana na huwezi kujenga umoja wa kitaifa kwa kuendekeza ubabe.
Ndio maana wananchi wakiona vipi vipi wanaanzisha ugaidi na kujilipua kitu ambacho hakuna serikali inayoweza kudhibiti.