Waromo ni wenye matatizo mengine, na ndiyo unaosikia kila siku wanakamwatwa kama wahamiaji haramu. Kwa hoyo, tuombe sana mungu ubaguzi usihubiriwe katika nchi yetu, uwe kwa njia ya kidini, elimu, fursa za uongozi na mambo mengineEthiopia waweke sawa huo mfumo wa shirikisho ili wa-Tigray wafaidi vizuri inaonekana hata wa-oromo nao wana malalamishi.
Kuna tatizo kwa serikali ya Ethiopia kwani pia ni wababe sana na huwezi kujenga umoja wa kitaifa kwa kuendekeza ubabe.
Ndio maana wananchi wakiona vipi vipi wanaanzisha ugaidi na kujilipua kitu ambacho hakuna serikali inayoweza kudhibiti.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Hao wajinga 80% na hao 6% interlectuals kwa umoja wao ndio wanaitengeneza nchi ya Ethiopia.
Kabla ya uhuru Chagga land ilikuwa ni nchi iliyokuwa inaongozwa na Mangi Mkuu, ilikuwa na jeshi, gazeti, fedha na bendera yake. Bila kuvurugwa kwa ule Utawala, leo ingekuwa wako dunia nyingine.Ningeshangaa kama Wachagga tusingetajwa humu na vyasaka.
Huu utawala wa sasa ndio unaanza kuleta upendeleo kwa maeneo fulani na kubagua mengine.Waromo ni wenye matatizo mengine, na ndiyo unaosikia kila siku wanakamwatwa kama wahamiaji haramu. Kwa hoyo, tuombe sana mungu ubaguzi usihubiriwe katika nchi yetu, uwe kwa njia ya kidini, elimu, fursa za uongozi na mambo mengine
😀 😀Ona maccm yalivyo majinga, nchi za wenzenu mnashabikia watu wajitenge, wakati kwenu wenyewe kumejaa dhulma pumbavu kabisa.