Betri yenye chaji
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 743
- 642
haya mawazo ya lara 1 ni sawa na mtu aliyepiga pesa za madawa au 10% alafu unakuja na kujifanya mwekezaji. Wasiojua amepataje pesa ndio utasikia wanasema "Mwenyezi Mungu kamjalia bwana", "kila mtu na Bahati yake" lakini huwezi kuwa na consistence mbali na kupotosha wengi wetu wenye nia ya kweli ya biashara.
Mafanikio ya kibiashara yanategemea sana mazingira yaliyowekwa na mamlaka/utawala wa eneo husika ili kuepuka ile hali ya kumkuta kijana amebeba shati mtaani alafu ukimuuliza 'occupation' yake anakwambia 'mfanyabiashara' na ndoto nyingi kama zile za 'bakhresa alianza na kushoina viatu'. Isike ikawa lara 1 amehudhuria kakozi kamoja tu ka ujasiliamali alafu anakuja hapa kutupotosha kwa mtazamo wake kuwa hili lidunia lote lilivyo kubwa na watu wengi hivi ni Kinondoni tu mtu anaweza kufanikiwa na kumake fortune!
Samahani wakuu! Je anaepokea laki tatu per month atatumia muda gani kusave 10ml? Hata akichukua mkopo kwa dhamana ya mshahara hawezi kupata hata 6ml ikiwa nyingi sana haiwezi kuzidi 4 milions kwa huo mshahara wa laki 3, nahitaj kusaidiwa
Haina haja ya PM mimi ni Corporate Marketer! Una ishu nakutafutia corporate clients, wanakupa tenda unanilipa commission. Mind you I aint cheap!
Pia hata kama una deal yoyote soko limekudindia wewe nione. Ndo nakwambia hivi as long as i control the MARKET mimi kutoka ni easy. Now im just working on the capital. Sitaki kukopa, wala kupewa na mtu. Nakusanya zangu mwenyewe, ndo hizo sasa watu wanataka nikazizike maramba saba. On the meantime namtumikia kafiri nipate mtaji wangu.
So dont think ugumu wa soko siujui. It my job kuuface daily. And i have seen its possible, and proved to various people waliotaka consultation.
Haaaaaaaaa! Ungujua mi daily lazima nikasogoe na Ma don wa Kitumbini na Kkoo, hadi Machache nishapiga nae story mara kibao. Acha underground ambao wewe huwajui ila nikikutajia utabisha.
Mtu hakunyimi neno, atakunyima hata maji. UKIWA MUOGA KUFA MASIKINI HAKUKWEPEKI!
HUJAJUA TU HAKUNA BEST ECONOMY KAMA HII YA KIKWETE!!!!!!!!!! Ukiyasema hayo naomba uhesabu ghorofa ngapi za ngzi 10 na kuendelea zinshushwa DSM daily???????????
Au ndo unaamini wenyewe freemanson? Klaghabao! We nyumba moja maramba 50 inakujambisha wenzio wanashusha ghorofa za kufa mtu ni prove tosha ECONOMY aint an issue.
Vitz inakujambisha mwenzio keshavuta Nissan Pajero ingizo jipya! Chezeya Bongo weye ziko 2 tayari? Afu unabwabwaja uchumi uchumi?
Kama wenzio wanaweza it is a prove kuwa u are playin on the wrong team.
Mi nakaa kwenye free house,, mzee wangu alikuwa na mawazo kama hayo tunayoyapinga akajenga nyumba kibao mjini na kabla hajarudisha hela zake Mungu akamchukua.. Tunaofaidi ndio sisi kizazi chake...
Unajua proud si kukaa na madon na kupiga nao stori ..... ila proud ni what their cream you can fetch out of their thoughts!
lara 1 hii hapa inakuhusu, njoo uisome mwenyewe!!!!haya mawazo ya lara 1 ni sawa na mtu aliyepiga pesa za madawa au 10% alafu unakuja na kujifanya mwekezaji. Wasiojua amepataje pesa ndio utasikia wanasema "Mwenyezi Mungu kamjalia bwana", "kila mtu na Bahati yake" lakini huwezi kuwa na consistence mbali na kupotosha wengi wetu wenye nia ya kweli ya biashara.
Mafanikio ya kibiashara yanategemea sana mazingira yaliyowekwa na mamlaka/utawala wa eneo husika ili kuepuka ile hali ya kumkuta kijana amebeba shati mtaani alafu ukimuuliza 'occupation' yake anakwambia 'mfanyabiashara' na ndoto nyingi kama zile za 'bakhresa alianza na kushoina viatu'. Isike ikawa lara 1 amehudhuria kakozi kamoja tu ka ujasiliamali alafu anakuja hapa kutupotosha kwa mtazamo wake kuwa hili lidunia lote lilivyo kubwa na watu wengi hivi ni Kinondoni tu mtu anaweza kufanikiwa na kumake fortune!
...............umewahi kusikia kitu kinachoitwa "money laundering"? basi kwa kifupi ndicho kinachoshusha magorofa hapa mjini ........... nikuulize hayo madawa ya kulevya yanayokamatwa daily huwa yanaendaga wapi??
Kelele za mabilioni za uswisi wengi hawazielewi impact yake kiuchumi ......... !!!!!!!!
Ujue hakuna watu wana matusi na zarau kama wale wahindi, wakinga, wapemba, wahaya na wachaga?????? Acha kabisaaa! Kukupa 2 minutes of his precious time sio jambo rahisi! Hadi mpige soga lazima uwe very interesting n he mst see somethin special in u.
Nshaijibu kitambo. Itafute. Mwenyewe katulizwa na jibu nililompa!
Mafanikio ya kibiashara sio kuwa na mtaji mkubwa! Warombo ndugu zangu wanaanza biashara ya 100,000/= anaimanage inakua mpaka inafikia Billions. It might take time, but you will get there if you show commitment and determination.
Unaweza kuwa hata na Mills 100 ukazipurula zote!
Pole sana meku!
nakuelewa sana, lakini pia wameshushwa pinguni wao? ........ ngoja nikuambie jambo moja, don wa ukweli hanaga ubabaishaji, hawa madon njaa ambao wamebebwa na sytem mbovu inayoruhusu ukwepaji kodi na rushwa za kufa mtu ndio wanaojishauwa, wengi wao tena wanaendesha magari ya mitumba, hawathubutu kuendesha magari mapya made only for them ........ lara 1 system ya kiuchumi hapa bongo ni mbovu hakuna mfano .......... mm nakuomba kasome tena vitabu vyako vya kiuchumi au investment utanielewa vema!!!!!
Hahahaaaaaaa! Pale kariakoo wapemba wanashusha mighorofa kama mchicha, Watu tumebakia hela za dawa, hela za dawa! Ndo tutabakia hivo hivo!!!!!!!! Wenzetu wanasonga sie tumejipumzisha na kujiweka standby kukosoa na kumkatisha tamaa yeyote anayeangalia THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!