Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Samahani wakuu! Je anaepokea laki tatu per month atatumia muda gani kusave 10ml? Hata akichukua mkopo kwa dhamana ya mshahara hawezi kupata hata 6ml ikiwa nyingi sana haiwezi kuzidi 4 milions kwa huo mshahara wa laki 3, nahitaj kusaidiwa
 
haya mawazo ya lara 1 ni sawa na mtu aliyepiga pesa za madawa au 10% alafu unakuja na kujifanya mwekezaji. Wasiojua amepataje pesa ndio utasikia wanasema "Mwenyezi Mungu kamjalia bwana", "kila mtu na Bahati yake" lakini huwezi kuwa na consistence mbali na kupotosha wengi wetu wenye nia ya kweli ya biashara.
Mafanikio ya kibiashara yanategemea sana mazingira yaliyowekwa na mamlaka/utawala wa eneo husika ili kuepuka ile hali ya kumkuta kijana amebeba shati mtaani alafu ukimuuliza 'occupation' yake anakwambia 'mfanyabiashara' na ndoto nyingi kama zile za 'bakhresa alianza na kushoina viatu'. Isike ikawa lara 1 amehudhuria kakozi kamoja tu ka ujasiliamali alafu anakuja hapa kutupotosha kwa mtazamo wake kuwa hili lidunia lote lilivyo kubwa na watu wengi hivi ni Kinondoni tu mtu anaweza kufanikiwa na kumake fortune!

Hata wakati kina Kawawa wanaanzisha TANU ma tax dreva wenzie walimcheka na kumponda sanaa. Alivokuja kuwa Kigogo walibakia kusema tulikuwa tunaendesha nae tax yule.

MAISHA NI KUCHAGUA! CHAGUO NI LAKO MAISHA NI YAKO!
 
Mada ya lara 1 haiwezi kufanya kazi katika economic sytem ya kibongo ........ watu wengi hawafuatilii indicators za kiuchumi thus why unaweza kumsapoti lara 1 kirahisi rahisi sana ....... unajua nchi kubwa km marekani kwa mfano, uafnisi wa kiongozi wa nchi ni uchumi kitu ambacho kwetu hakipo!!!!

HUJAJUA TU HAKUNA BEST ECONOMY KAMA HII YA KIKWETE!!!!!!!!!! Ukiyasema hayo naomba uhesabu ghorofa ngapi za ngzi 10 na kuendelea zinshushwa DSM daily???????????

Au ndo unaamini wenyewe freemanson? Klaghabao! We nyumba moja maramba 50 inakujambisha wenzio wanashusha ghorofa za kufa mtu ni prove tosha ECONOMY aint an issue.

Vitz inakujambisha mwenzio keshavuta Nissan Pajero ingizo jipya! Chezeya Bongo weye ziko 2 tayari? Afu unabwabwaja uchumi uchumi?

Kama wenzio wanaweza it is a prove kuwa u are playin on the wrong team.
 
Samahani wakuu! Je anaepokea laki tatu per month atatumia muda gani kusave 10ml? Hata akichukua mkopo kwa dhamana ya mshahara hawezi kupata hata 6ml ikiwa nyingi sana haiwezi kuzidi 4 milions kwa huo mshahara wa laki 3, nahitaj kusaidiwa

Mafanikio ya kibiashara sio kuwa na mtaji mkubwa! Warombo ndugu zangu wanaanza biashara ya 100,000/= anaimanage inakua mpaka inafikia Billions. It might take time, but you will get there if you show commitment and determination.

Unaweza kuwa hata na Mills 100 ukazipurula zote!
 
Haina haja ya PM mimi ni Corporate Marketer! Una ishu nakutafutia corporate clients, wanakupa tenda unanilipa commission. Mind you I aint cheap!

Pia hata kama una deal yoyote soko limekudindia wewe nione. Ndo nakwambia hivi as long as i control the MARKET mimi kutoka ni easy. Now im just working on the capital. Sitaki kukopa, wala kupewa na mtu. Nakusanya zangu mwenyewe, ndo hizo sasa watu wanataka nikazizike maramba saba. On the meantime namtumikia kafiri nipate mtaji wangu.

So dont think ugumu wa soko siujui. It my job kuuface daily. And i have seen its possible, and proved to various people waliotaka consultation.

Very good, all the best i wish.
 
Copy: lara 1 unajua mwisho wa hela ni nini?

Kaa na matajiri wakubwa wakuambie lara 1 ni vitu viwili tu ....... ambavyo daima zina appreciate no matter how economic unstability is, navyo ni nyumba na ardhi!!!!! take that lesson from me!!!!!

Haaaaaaaaa! Ungujua mi daily lazima nikasogoe na Ma don wa Kitumbini na Kkoo, hadi Machache nishapiga nae story mara kibao. Acha underground ambao wewe huwajui ila nikikutajia utabisha.

Mtu hakunyimi neno, atakunyima hata maji. UKIWA MUOGA KUFA MASIKINI HAKUKWEPEKI!
 
Unajua proud si kukaa na madon na kupiga nao stori ..... ila proud ni what their cream you can fetch out of their thoughts!
 
HUJAJUA TU HAKUNA BEST ECONOMY KAMA HII YA KIKWETE!!!!!!!!!! Ukiyasema hayo naomba uhesabu ghorofa ngapi za ngzi 10 na kuendelea zinshushwa DSM daily???????????

Au ndo unaamini wenyewe freemanson? Klaghabao! We nyumba moja maramba 50 inakujambisha wenzio wanashusha ghorofa za kufa mtu ni prove tosha ECONOMY aint an issue.

Vitz inakujambisha mwenzio keshavuta Nissan Pajero ingizo jipya! Chezeya Bongo weye ziko 2 tayari? Afu unabwabwaja uchumi uchumi?

Kama wenzio wanaweza it is a prove kuwa u are playin on the wrong team.

...............umewahi kusikia kitu kinachoitwa "money laundering"? basi kwa kifupi ndicho kinachoshusha magorofa hapa mjini ........... nikuulize hayo madawa ya kulevya yanayokamatwa daily huwa yanaendaga wapi??

Kelele za mabilioni za uswisi wengi hawazielewi impact yake kiuchumi ......... !!!!!!!!
 
Mi nakaa kwenye free house,, mzee wangu alikuwa na mawazo kama hayo tunayoyapinga akajenga nyumba kibao mjini na kabla hajarudisha hela zake Mungu akamchukua.. Tunaofaidi ndio sisi kizazi chake...

Hongera mkuu nakuonea wivu natamani ningekuwa mie, kwa case hii una kila sababu ya kuhakikisha unazungusha hela mkuu mpaka kieleweke maana kiukweli nyumba zinamaliza hela na huwa haziishi kwani ukikuta mtu ameimaliza nyumba katika kiwango kinachojulikana nyumba imeisha ni miongoni mwa watu wachache sana. Unajua changamoto za maisha zinawafanya watu wakomae na mjengo ili angalau apate fursa ya malezi mazuri ya watoto wake maana majumba haya tunayopanga hasa kwa watu ambao hawana uwezo wa kupanga nyumba nzima kuna changamoto nyingi kutokana na kuishi na watu wa background tofauti (gharama za changamoto hizi huwa zinawafanya watu wakomae pia na kamjengo hasa ukizingatia watz ujasiamali haupo kichwani). Mie nadhani kujenga kajumba kako kamoja ambacho ni low cost building si mbaya sana kuondoa changamoto za muingiliano na wadau wengine alafu huku ukiwa unapiga investment zako, hata mie napinga kwa investment za kujenga nyumba nyingi mjini badala ya investment nyingine zenye quick return ila kwa moja ya kuishi si mbaya.

Hata huyo mzee wako nadhani alikuwa na malengo mazuri ndio maana mpaka leo na nyie mnakaa vinginevyo hata nyie mngeziuza na kubaki majalala (unajua kwanini mpaka sasa mnakaa? I guess alihakikisha kila mtoto wake anasoma shule na mwisho wa siku ameondoka nyie watoto wake mmeona nyumba ni kitu cha kawaida hata nyie ipo siku mtajenga zenu, familia nyingi huwa zinauza kwa kuwa kuna wazee waliinvest kwenye majumba kwa imani ya kuwajengea watoto na si kupangisha ila wakasahau kuwapa elimu)
 
Unajua proud si kukaa na madon na kupiga nao stori ..... ila proud ni what their cream you can fetch out of their thoughts!

Ujue hakuna watu wana matusi na zarau kama wale wahindi, wakinga, wapemba, wahaya na wachaga?????? Acha kabisaaa! Kukupa 2 minutes of his precious time sio jambo rahisi! Hadi mpige soga lazima uwe very interesting n he mst see somethin special in u.
 
haya mawazo ya lara 1 ni sawa na mtu aliyepiga pesa za madawa au 10% alafu unakuja na kujifanya mwekezaji. Wasiojua amepataje pesa ndio utasikia wanasema "Mwenyezi Mungu kamjalia bwana", "kila mtu na Bahati yake" lakini huwezi kuwa na consistence mbali na kupotosha wengi wetu wenye nia ya kweli ya biashara.
Mafanikio ya kibiashara yanategemea sana mazingira yaliyowekwa na mamlaka/utawala wa eneo husika ili kuepuka ile hali ya kumkuta kijana amebeba shati mtaani alafu ukimuuliza 'occupation' yake anakwambia 'mfanyabiashara' na ndoto nyingi kama zile za 'bakhresa alianza na kushoina viatu'. Isike ikawa lara 1 amehudhuria kakozi kamoja tu ka ujasiliamali alafu anakuja hapa kutupotosha kwa mtazamo wake kuwa hili lidunia lote lilivyo kubwa na watu wengi hivi ni Kinondoni tu mtu anaweza kufanikiwa na kumake fortune!

lara 1 hii hapa inakuhusu, njoo uisome mwenyewe!!!!
 
Last edited by a moderator:
...............umewahi kusikia kitu kinachoitwa "money laundering"? basi kwa kifupi ndicho kinachoshusha magorofa hapa mjini ........... nikuulize hayo madawa ya kulevya yanayokamatwa daily huwa yanaendaga wapi??

Kelele za mabilioni za uswisi wengi hawazielewi impact yake kiuchumi ......... !!!!!!!!

Hahahaaaaaaa! Pale kariakoo wapemba wanashusha mighorofa kama mchicha, Watu tumebakia hela za dawa, hela za dawa! Ndo tutabakia hivo hivo!!!!!!!! Wenzetu wanasonga sie tumejipumzisha na kujiweka standby kukosoa na kumkatisha tamaa yeyote anayeangalia THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!
 
Ujue hakuna watu wana matusi na zarau kama wale wahindi, wakinga, wapemba, wahaya na wachaga?????? Acha kabisaaa! Kukupa 2 minutes of his precious time sio jambo rahisi! Hadi mpige soga lazima uwe very interesting n he mst see somethin special in u.

nakuelewa sana, lakini pia wameshushwa pinguni wao? ........ ngoja nikuambie jambo moja, don wa ukweli hanaga ubabaishaji, hawa madon njaa ambao wamebebwa na sytem mbovu inayoruhusu ukwepaji kodi na rushwa za kufa mtu ndio wanaojishauwa, wengi wao tena wanaendesha magari ya mitumba, hawathubutu kuendesha magari mapya made only for them ........ lara 1 system ya kiuchumi hapa bongo ni mbovu hakuna mfano .......... mm nakuomba kasome tena vitabu vyako vya kiuchumi au investment utanielewa vema!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio ya kibiashara sio kuwa na mtaji mkubwa! Warombo ndugu zangu wanaanza biashara ya 100,000/= anaimanage inakua mpaka inafikia Billions. It might take time, but you will get there if you show commitment and determination.

Unaweza kuwa hata na Mills 100 ukazipurula zote!

Safi sana mawazo mazuri unayokuja nayo, hii TWEZETU kumbe ina impact aisee, maisha ya mfanya biashara ni sawa na mabadiliko ya mwili wa binadamu mpaka mwanadamu anakuwa na afya njema maana yake ameijenga kwa siku nyingi lakini hiyo afya ya binadamu pia ikiporomoka ndani ya wiki anakuwa kakonda kama mgonjwa wa ngwengwe.

Mfano huo uki-link na biashara unahitaji kuishi kulingana na kile unachopata taratibu mpaka utakapo-stablize, wabongo wengi akianza biashara akipata faida ya kueleweka tu ghafla anabadilisha na life style palepale matokeo yake kama akikutana na vikwazo vya kibiashara anashuka ghafla kumbe alitakiwa biashara ilipoongezeka kidogo kama alikuwa anaishi chumba kimoja achukue chumba na sebule kwanza ili aendelee kujiweka vizuri kabla ya kuhamia sinza kwenye nyumba ya laki tano kwa Mwezi lakini sasa kitu kikitema tayari huyo anataka jamii imuone mwisho wa siku anabaki na picha za those days alipokuwa yupo vizuri kiuchumi
 
nakuelewa sana, lakini pia wameshushwa pinguni wao? ........ ngoja nikuambie jambo moja, don wa ukweli hanaga ubabaishaji, hawa madon njaa ambao wamebebwa na sytem mbovu inayoruhusu ukwepaji kodi na rushwa za kufa mtu ndio wanaojishauwa, wengi wao tena wanaendesha magari ya mitumba, hawathubutu kuendesha magari mapya made only for them ........ lara 1 system ya kiuchumi hapa bongo ni mbovu hakuna mfano .......... mm nakuomba kasome tena vitabu vyako vya kiuchumi au investment utanielewa vema!!!!!

Mafanikio ni kuruka vikwazo na viunzi daily! Sio kucapitalise kwenye mapungufu n start whining like a cry baby! Ukiona tatizo kinachotakiwa ni kuangalia alternative ya kulitatua soon at your best interest!

FYI MADON WOTE WANA ROHO ZA KUTU!!!!!!!!! Kuanzia Macache, Manjii, Meddy Dew,Davi Mosha, Ulomi, n,k n,k !
 
Hahahaaaaaaa! Pale kariakoo wapemba wanashusha mighorofa kama mchicha, Watu tumebakia hela za dawa, hela za dawa! Ndo tutabakia hivo hivo!!!!!!!! Wenzetu wanasonga sie tumejipumzisha na kujiweka standby kukosoa na kumkatisha tamaa yeyote anayeangalia THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!

I wish after 10 years tukutane macho kwa macho .... halafu kila mmoja wetu aanze kusema alivyo achieve, kiukweli mm lazima niachieve kupitia any available loop, ili mradi si ya kutoa uhai.

Kwann nifanye hivyo? Kwa sababu am seeing the country big boys doing it every time, mfano juzi kati kuna kampuni nimeandaa hesabu zake za mwaka, you know what tra officers wamekuja wakamuuliza mlipa kodi unataka kulipa kodi kiasi gani? akamjibu nataka kulipa kiasi hiki, jamaa wakaenda ofisini wakandaa hesabu upya itakayokidhi matakwa ya mlipa kodi ........... mlipa kodi akaambiwa atoe nauli, imagine how much, milions of money, more than 20milions, halafu officers wapo wawili tu, niambie hao hawataweza kuangusha magorofa kwa kadri watakavyo......sasa utalinganisha na mimi ninaezungusha milioni moja ili nipate milioni 300????? !!!!!

wewe lara 1 ..... economic sytem ya taifa ipo rotten, tazama taifa bado linakopa daily, kisa kodi ya ndani haikusanywi ipasavyo, unajua inaenda wapi.....inaenda mikononi mwa wacahache ..... na ndio hao ambao ww lara 1 unawakubali kichizi!!!!!!

Acha kuota mchana wewe lara 1 ....... piga deals as muach as they are availbale, mm ni shuhuda wa how nchi inaliwa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom