Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi


Najua sana unachosema ..... naomba nikukumbushe, au nikuulize swali dogo sana!

faida inapatikana muda gani?

jibu lake ni hili:
when informations are not available to the buyers, full stop.!!!!!!

Nenda kasome kitabu chako cha masuala ya "marketing", pitia na hiki kitu pia kwa wateja(ambao kimsingi ndio waleta hela)
1.willing
2.demand
3.ability
 
Samahani wakuu! Je anaepokea laki tatu per month atatumia muda gani kusave 10ml? Hata akichukua mkopo kwa dhamana ya mshahara hawezi kupata hata 6ml ikiwa nyingi sana haiwezi kuzidi 4 milions kwa huo mshahara wa laki 3, nahitaj kusaidiwa

tatizo kubwa sio kiasi cha hela unachopokewa, kwamba ni ndogo .... tatizo kubwa ni muda unaotumia kukuza hicho kiasi ndogo unachopata, sio muda pia sana ila pia skills za kukuza hicho kiasi kidogo ....... determination ndio nguzo yako kuu ya kufanikisha unachotaka kufanikisha!!!!!
 

Unanichosha sasa! DIDNT I SAY TAKE CALCULATED RISK???????????? Refer page ya 1 ya hii post.
 

Hahahaaaaaaa! Being a little political is a challenge, bt being too political is sensitive. Mi sikatai, nikiwa makzi wa mda mrefu wa Mahakama kuu ya sembe Tz i know what making quick money is!

Lakini kinachotakiwa ni Mtu kujiangalia binafis unasimama wapi? Haupo kwenye circuit ya kusupply steam, haupo TRA, so what? Ukae na kulaumu nchi inaliwa? Au ujitume kutafuta chako kidogo!

Yeye kuiba kodi hakukuzuii wewe kuanzisha mradi wako!!!!!!!!!!!!

EVERYBODY FOR HIMSELF GOD FOR US ALL!!!!!!!!!!
 
Unanichosha sasa! DIDNT I SAY TAKE CALCULATED RISK???????????? Refer page ya 1 ya hii post.

pole!!!! usipanic, futa pumzi, then pangua hoja kwa vivid examples, sio kuandika tu!!!
any way think simply calculated risk as it is, nani atafanya jambo akijua kuwa ataloose at the end of the day? kila mtu anafanya calculated risk ila tumetofautiana umakini na muono tu ...... utasubiri sana!!!!

by the way the financial big boys say "risk is for those who don't the outcome"
 

underlined is precisely correct ......la usisahau mada yetu kuu ni kuhusu kuzungusha hz mia mia zetu zifikie 300 milioni, tukaenda mbali hadi tukaanza kuwajadili wanaodondosha magorofa kila uchwao ...... ambao kimsingi ndio hao waliopo kwenye nyonyo la pesa za nchi!!!!
 
Ni wazo zuri,ila pia mabenk siku hizi yana hitaji dhamana isiyo hamishika ambayo ni nyumba,kwa suala la kuzungushia mtaji changamoto kubwa ni kuwa aina ya biashara na pia is watu wote wana weza fanya biashara kwa umakini na kuindeleza! Kumbuka ujasiria mali una hitaji follow up ya karibu sana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

HAHAHAAAAAAA! We hoja huna! TOO THEORETICAL! Afu pi very pessimistic! I have my vivid example, mimi mwenyewe kila siku nawatafutia watu masoko, how more vivid can it get?

Anyways MAISHA NI YAKO CHAGUO NI LAKO!!!!!!!!!!! I said what i wanted to say!

Unachotakiwa kuelewa ni kuwa Mimi na wewe ni independent events! Kufanikiwa kwangu au kushindwa hakukuaffect wewe chochote, na kufanikiwa kwako au kushindwa kwako hakuni affect chochote.

Kila mtu acheze karata zake. Fursa ni nyingi mnoooooooo!!!!!!!!!!!!
 
Wewe lara1 naona upo online muda mrefu sana, usiku na mchana; wewe kazi za ujenzi wa taifa unazifanya muda gani?
 
SAFI SANA....fanya kazi bila kukata tamaa,mafanikio huja kwa kujituma na kukubali matokeo ya kazi/biashara yako ,yawe mazuri au mabaya .HAKUNA KUKATA TAMAA.....
 

Mkuu, nadhani umemaliza kabisa!. Kwa njia za kawaida tuzijuazo, utajiri au mafanikio ya haraka ni ndoto kwa Bongo. Lara 1, katoa ushauri mzuri lakini kiuhalisia nadhani utekelezaji wake bado sana tu.
 
Wewe lara1 naona upo online muda mrefu sana, usiku na mchana; wewe kazi za ujenzi wa taifa unazifanya muda gani?

Digitali internent hadi kweny simu!
 

mm nahisi unafikri hapa ni jukwaa la MMU ambalo kila single unayokuja nayo inahit ...... huku siyo, huku ni hoja kwa hoja, mifano kwa mifano, nk nk , lakn mara unasema ooooohhhh nakuchosha, mara ooohhh too theoritical, mara ooohhh tooo pessimistic, mara ohhhhh ..... mara ooohhh .... mara oooohhhh, .................. mbona mm siku-atack personally, badala yake na-atack hoja yako with high integrity and discipline, mm nimejifunza kuwavumilia wasiojua!!!!

nenda kwanza kamalizie vizuri shule yako ya uchumi mama, ukishamaliza ndio unakuja sasa kupost, otherwise utaishia ku-panic kila ukipost, eti unasema uchumi haina theory???? angalia mwalimu wako asikugundue kuwa ni wewe!!!!!
 
Mkuu, nadhani umemaliza kabisa!. Kwa njia za kawaida tuzijuazo, utajiri au mafanikio ya haraka ni ndoto kwa Bongo. Lara 1, katoa ushauri mzuri lakini kiuhalisia nadhani utekelezaji wake bado sana tu.

nakala kwako lara 1
 
Last edited by a moderator:

kwa kweli ujumbe wako ni mzuri,ila mtaji si kiuno kuuzungušha kwataka mõyõ na utulivu wa akili co kukurupuka!
 

kumbe na huku unachungulia... umestaafu U-kungwi MMU?!
 
kumbe na huku unachungulia... umestaafu U-kungwi MMU?!

We hujui kuwa tunatafuta pesa ili tufaidi nini? Nitastaafu vipi? MI KUNGWI KILA IDARA NATOSHEA!!!!!!!!!!
 

HALOOOOOOOOOOOOOO! I NEVER GOT WHOOPING 30 LIKES! PAH! JUST LIKE THAT IN MMU!!!!!!!!!! But i got them her! How many do you have? I too didnt think soo.

Embu cheki chini hapo 1000 na ushee people viewing the thread. Hesabu na like za comments zangu za katikati. Afu cheki reponse overrall! Over 220 comments. Weka link hapa thread uliyoanzsha jukwaa lolote ikafika hata tucomment 100 tu!

Bila kusahau Reputation power chek kako na langu! Hahahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

FACTS SHOW THAT MAJORITY ARE DIGGIN THIS SHIT!!!!!!!!! NUMBERS DONT LIE!

IWE MMU, ECONOMIC FORUM KOKOTE KULE MI NATISHAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! ALWAYS EXCELLING IN WHATEVER I DO!!!!!!!!!!!! CHEZEYA!!!!!!!!!!!!!!!!!! NACHEZA NAMBA ZOTE 11 UWANJANI! KIPA MIE, DEFENCE MIE, MID FILDER MIE, FOWARD MIE!!!!!! UTANIWEZEA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…