Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Ni ngumu kumeza lakini nadhani ndio ukweli wenyewe, mimi nina nyumba yangu ya vyumba vinne ndio nimeifikisha kwenye renta lakini cha moto nimeshakiona..., Inakuwa ngumu kumeza kwasababu kupanga ni gharama, pia kuna shida zake...
 
Nilishasema akili za kushikiwa ni za kushikiwa tu..watu wanajenga na kufanya biashara na maisha yanaendelea. Hivi who told you kwamba kila mtu ameubwa kuzingusha pesa...hivi ni kweli kila mtu ameumbwa kuwa enterprising kihivyo? Ungekuwa integrative kidogo ungefahamu kuwa ulichoandika kinaendana na mazingira pia. Mkisoma kidogo mnataka kila mtu mtu afikiri mnavyofikiri ninyi. Welcome to the real world. Pia usipende kujustfy failure zako ktk maisha kwa kuona wengine hawana mawazo mazuri.

Nikukumbushe tu kuwa maisha ni zaidi ya kuwa na hela nyingi au assets. Jipange vizuri kwani napata shida kukuelewa kuwa mtu amejijengea kanyumba kake basi mola akamwita kunako haki basi mtu huyo kafa maskini. Vilevile swala la kuinvest linataka maandalizi inlcluding know how (shule). Wenge tu hawana hiyo know how... Na kwa kuwa binadamu ni rational kujenga nyumba is one of the best option...by the way kuna watu wanafamilia na hawako selfish kama unavyosound. Nafikiri nyumba bora zaidi kuliko kwenda nunua sijui hisa au vinavyofanana na hicho wakati huna background sahihi.

To be honest nadhani hii issue yako ni personal zaidi what is you objective anyway?...sound like roho ya kwanini?
 
Nafikiri mkuu hujamwelewa mleta mada. Point yake ni kwamba kama huna cashflow ya uhakika na ya kutosha fanya investments kwanza ambazo return yake ni ya muda mfupi. Return ya hiz investments itakujengea! Usikimbilie kufukia hela kabla ya kuwa na sources za kipato za kutosha!!
 

That was my word.

Mwili wote ukiwa jicho, sikio litakuwa wapi?

Hapo hujaongeza wizi unaofanywa na waajiriwa wengi kwa waajiri wao.

Na hii tabia ya kila mtu kuanzisha grocery stoo, bar au salon inakera sana!
 
How about using those assets (mashamba na nyumba) as collateral to access loans from bank.. Kama ni kujenga tu bila investment idea hio ni issue.. But sometimes unajenga nyumba as a trust to access loan from any bank.. As Tanzania bila collateral mkopo utausikia tu..
 
unajua katika dunia ya investments real estate ni option ya wengi maana usimamizi wake sio mgumu sana. Kitu kinachofanya iwe ngumu hapa ni kuwa udhaifu wa serikali (nadhani ndio jinsi sahihi ya kueleza) unafanya opportunities zionekane kama curse. Mfano mdogo angalia sehemu mbali kama Tuangoma lakini baada ya kusurvey lile eneo viwanja vina bei zaidi ya maeneo mengine.
Kama kweli unaishi dsm na then unajua kuwa walivyo declare hili eneo kuwa jiji walitoa na master plan ya jinsi linavyopaswa kuwa. Sasa utaitaje sehemu kuwa jiji wakati hakuna barabara, maji, umeme na hata viwanja vya kuchezea? Ninachosema ni kuwa hukutolea mfano wa kujenga nyumba maeneo haya (Sinza, Masaki, Obay, Knyma, kinondoni) maana tayari zipo lakini walioijua Sinza achilia mbali Mbezi miaka ya 80 mwishoni akili zao kama zingejifunga wasingeiona Tabata, Kimara, Tegeta, Sarasara nk. Sasa ujiulize if the authorities had done their duties of implementing city master plan kwa kuweka barabara maeneo yote, maji, na kusimamia ujenzi uliopangiliwa unajua thamani ya nyumba au pango maeneo hayo ingekuwa kiasi gani? Refer tu mfano wa Mbagala baada ya improvement ya barabara japo haina kiwango!
Thus the uncertainty of doing business in tz is what forces people to invest kwa staili hiyo na risk takers wapo lakini wengi ndio hao wauza unga na majambazi.
Lakini sina maana kuwa tusijaribu lara 1

 
Linapokuwa swala ka kutake risk ndo mtihan mkubwa kwa watz weng!!wanasahau watu wote waliofanikiiwa waliweza kupingana na hisia za kukata tamaa wakasonga mbele.Ubarikiwe kwa kutukumbusha watanzania

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ni kweli ni kujenga nyumba ya kupangisha return yake ni ndogo sana sana,ndo maana real estate agency nyingi bongo zimekufa
biashara ya nyumba yenye return nzuri ni ya kujenga na kuuza
ila sasa kwa wabongo watu wanapenda kurelax sana
akiwa na m 100 kuliko aizuingushe miezi sita ilete m 300 bora anunue kiwanja mbezi mwisho m 20 ajennge mjengo wa m 70 apangishe kwa mwezi laki 3...hadi hela irudi sisimizi walishammaliza kaburini
 
Biashara inahitaji muda, kipaji na ujuzi.

Katika swala zima la personal finance there is no one size fits all approach. Yuko ambaye kujenga nyumba kwako ndio uamuzi sahihi na yuko ambaye kuizungusha pesa kwake ni uamuzi sahihi.

Kujenga nyumba umuhimu wake unakuwepo hasahasa sio kama chanzo cha liquid capital ila ni kama security. Kama mtu amejaaliwa watoto unahitaji mapema iwezekanavyo kuwa na vitu ambavyo vitawahakikishia security ya at least mahali pa kuishi just in case the inevitable happens.

Vile vile kwa maisha ya mjini kodi ya nyumba ni kubwa na inalipwa kwa "pasi ndefu". Kwahiyo mtu anayelipa kodi ya sh. laki mbili anajikuta kila mwaka anatakiwa kutoa 2.4 mil. Hii ni pesa ya kununua matofali ya nyumba nzima. Ndio maana watu inafika wakati wanaona bora wajibane kwa muda fulani wajenge ili later wasave hiyo pesa kwa mambo mengine.

Tukumbuke pia kuwa unapojenga nyumba yako unaweza kuhamia hata kama bado hujapaka rangi wakati kwenye nyumba ya kupanga huna sababu ya kukaa kwenye nyumba ambayo haijafanyiwa finishing, which means kwamba ukikaa kwenye nyumba ya kupanga unakaa kwenye luxury ambayo may be haina ulazima at that time. Cha ajabu ni kwamba kukaa kwenye nyumba yako ambayo haijafanyiwa finishing is a lot happier than kukaa kwenye nyumba ya kupanga ambayo kodi ikikaribia kuisha tu watoto wanaanza kuhesabiwa maandazi mawili mawili.

Bottom line: Kila mtu anafanya maamuzi kulingana na hali yake. Cha msingi ni kuwa financially sober na kuwa na mipango ya muda mrefu ya kifenda.
 

Na ikumbukwe kwamba ni kundi dogo sana la watu ambao wapo kwenye hizo private companies wenye uwezo wa kuongelea 10M saving kwa mwaka. Watu wengi kuipata hiyo 10 M kwa mara moja ni vigumu ndio maana mtu unaona bora hicho kidogo unachokipata ukipeleke sehemu ya kueleweka.

Hapo kwenye blue nimepapenda mkuu, ni kweli kwa mwingine kuajiriwa ndio kila kitu, wakati yuko amae anaamini kujiajiri ndio mwisho wa matatizo, mwingine anaamini kilimo ndio haswa funga breki.
 
TOKA NIJIUNGE JF Hii ni moja ya topic iliyonivutia sana sana kwa sababu mm ni mwajiriwa na nalpwa vzur bt nawaambia marafk zangu nataka niache kazi nitake rsk niingie kwenye busines wanaogopa bt soon nitafanya maamuz magumu cz ukrsk kwanza unakuwa makini kwenye usmamiz...bt warning binafs bado ni kijana mdogo ila nilichofanya cha kwanza baada ya kupata pesa nilinunua kiwanja changu kikubwa Tegeta na nins mpsngo wa kuanza ujenz soon ila skuwekeza kwenye magari..ila kwa maisha ya mjini kupata kiwanja ni muhmu dn unapanga un afanya biashara profit unayopata unajenga na kupanua biashara..ni mawazo yangu si sheria
 
TOKA NIJIUNGE JF Hii ni moja ya topic iliyonivutia sana sana kwa sababu mm ni mwajiriwa na nalpwa vzur bt nawaambia marafk zangu nataka niache kazi nitake rsk niingie kwenye busines wanaogopa bt soon nitafanya maamuz magumu cz ukrsk kwanza unakuwa makini kwenye usmamiz...bt warning(kiwanja muhmu) binafs bado ni kijana mdogo ila nilichofanya cha kwanza baada ya kupata pesa nilinunua kiwanja changu kikubwa Tegeta na nina mpango wa kuanza ujenz soon ila skuwekeza kwenye magari..ila kwa maisha ya mjini kupata kiwanja ni muhmu dn unapanga un afanya biashara profit unayopata unajenga na kupanua biashara..ni mawazo yangu si sheria
 

Mkuu nimemwelewa vyeama mtoa mada ndio maana nikajaribu kuwa specific kidogo kwani yeye ame-generalize sana. Ukweli ni kwamba anachosema sio general kihivyo. Hivi ujasikia kwamba kuna watu wamestaafu kisha wakapatiwa fedha nyingi wakaenda zizungusha (biashara) wakaishia kupoteza fedha zao kwa maana ya kusjindwa kuzisimamia?
 

Uko sahihi...lakini hiyo risk inayozungumziwa hapa ni culculated risk na sio pata potea stuff.
 
nyc topic tupambane na tujipange na kuwa na matumiz sahihi ya pesa...starehe kwa step tutumie starehe kutafakr mazuri tuliyoarchve na kudscus isues za kupga atlst a step kutoka ulipo kwenda mbele huwez kupata 1m bila kupata lak moja,,,mapambano yanendelea ya kiuchum dogo wa facebook alianza kama utan, apple the same..adidas na puma ni ndugu wa damu baba mmoja mama mmoja wa kijeruman walianza kwa kushona viatu kwa mikono baadaye wakatengana kila mmoja akasmamia banda lake kwa sasa ndio makampuni makubwa ya vfaa vya michezo dunian
 
Hii Mada ya leo ni ya Kweli kabisa wala sibishi hata chembe, ninasema hivi nikiwa mmoja katika wazika hela mbali na Jiji, japo naamini Kinondoni was Once Porini, hata aliyewekeza Pale Mlimani city palikuwa ni pori pia japokuwa alikuwa na pesa Mingi, Namaliza kwa kushukuru kwa ushauri Mzuri sana, Bila kusahau naomba kujuzwa Kodi ya chumba kimoja ni sh ngapi pale kinondoni, Kijitonyama au sinza, Na Je wale wajasiriamali wadogo wasio na Nyumba wanaishi kwa Kupanga Nyumba Za kijitonyama, Kinondoni, Kariakoo, Posta, Mbagala au Mbezi, Tegeta kuliko na Mapori yasiyolipa? By the way jitahidini kuwekeza katika ardhi pia fanya bidii katika kazi zako uwe mjasiriamali mzuri na mwenye maendeleo Ahsanteni wana jamvi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
MO TOWN nmekupata bt kwenye busines yeyote unaingia ukiwa umeshafanya intensive research na umecalculate rsk and benefit bt busines envronmental znatokea dat why tunasema ni kutake rsk eg; compitatiors wanaweza kuongezeka, etc dat y lazma ujtoe mhanga na kutumia soko kwa wakat mwafaka...
 

Nilivoanza hizi harakati za KUUPIGA VITA UMASIKINI UKIWEMO WA FIKRA NA MAWAZO MGANDO sikutegemea ingekuwa rahisi, na napenda niwaahidi kuwa sitochoka kupambana.

Mimi ni mtoto wa mjini weweee sisubirii shule initoe kimaisha. Shule nilienda kukua tu na kuchukua hadhi ila sio kuwa shule kwangu ishu sanaaaa!

Tuje kwenye real world, Habari ndo hio, LIFE IS A CHOICE! Ukichagua kubaki communist na hoehae chaguo ni lako na maisha ni yako. We jenga, na kufanya bishara mbuzi badala umerge hizo capital na kufanya biashara ya maana uone utaishia pale nilipokwambia.

Afu tuheshimiane hunijui sikujui inakuwaje udai nina failures kimaisha? Ukiambiwa uthibitishe kauli yako pasi shaka utasemaje? Jiangalie.

SUCESS IS ONLY FOR THE BRAVE FEW!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…