Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

umeongea vizuri ulipo mnukuu Ruge hii article imeonekana kama lundo la kinyesi, lete revised version, usiishie kutaja fursa ziko nyingi unatakiwa utoe mfano wa nini wewe umefanya na ten million au amount yoyote ili hiki unachokisema kiwe standard of reference,
 
Ruge turned 10 mills to billis!!!!!!!! LOL! Hizo invesment that is another topic for another day! Ruge might be feudalistic but he is sayin the truth!
 
Ruge turned 10 mills to billis!!!!!!!! LOL! Hizo invesment that is another topic for another day! Ruge might be feudalistic but he is sayin the truth!

Sister ni kweli na Kuna Baadhi ya Nchi kwa sababu ya maswala ya Kiuchumi mtu haruhusiwi kujenga Nyumba kwa pesa yake, kwa sababu madhara yake nimakubwa kuliko Faida, na hata huku Bongo si kwamba Serikali haijui madhara ya watu kujenga nyumba kwa pesa zao,ila Seriali imeamua kupotezea tu
Ila nia uhakika Wanachi tulio wengi sana hatujui Madhara yake na Serikali kwa makusudi haijawahi dhubutu kuongelea hayo Madhara, Ila nakumbuka Mkapa aikwa Presedent aliwahi kugusia hii ishu ingawa hakuingia Deep
 
unashauri nini watu wakope,wanunue au wajenge kwa hela zao wenyewe? kama Mkapa hakwenda deep kwa nini wewe usiende deep, nyumba ni household commodity ambayo kila familia inatakiwa kuwa nayo ni ujinga kuamini kuwa nyumba ni prestige, it is simply a shelter and almost a birth right to everyone.
 
Ruge turned 10 mills to billis!!!!!!!! LOL! Hizo invesment that is another topic for another day! Ruge might be feudalistic but he is sayin the truth!

tell him to show his tax profile if at all it is clean money, he might have done so simply because is working with the oligarchy which has hijacked the tanzania music industry, out of this oligarchy Ruge is a street hawker. His fortune is accidental like that of Adolf Hitler and the Mercedes Benz, when hitler survived a motorcade with a mercedes benz and ordered the car to adopted by the government, without that accident mercedes benz could have died long.
 
Wewe humjui Ruge. Ruge mutoto ya Prof Mutahaba (Prof that Benz u are drivin is a killer) alianzia mbali sanaaa. Walianza kupiga disco vumbi, wakaenda kwa Bonny love kuanza recording. Na Muta alikuwa anawasaidia tu studioni kwake. Leo hii watu wanajua kaamka tajiri! Aiseeeeeeee! Kusaga nae tunamjua uzuri wakazi wa Kinondoni.

Wale waliona fursa wakaikamata by the balls! Baaaaaaaaaasssss!
 
Your love is your weakness you might be in double timing bed relationship with the two thieves.
 
Your love is your weakness you might be in double timing bed relationship with the two thieves.

Duniani hakuna malaika nakubali ila kina Ruge wametoka through fighting the odds, commitment na perseverance. Hata kama wamechakachua bila hivi vitu wasingefika kokote. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
topic nzuri lakini binadamu wote tunaweza ona mto wa maji wengine wataoga wengine watakunywa wengine watatengeneza maji ya azam wauze .......nyumba ni mradi nao kama we unavyoona uchuuzi ni mradi .....faida /return zinatofautiana ........ukinunua kiwanja tegeta cha mil 20 na kujenga nyumba ya mil 50 valuation yake inaweza kuwa hata mil 150 ....utakapomaliza tu sawa hii inawezekana sio hela kwa sababu ni ripoti tuu ka we unavyosema ila ukienda kwenye vyombo vya fedha ni rahisi kuvuta mkopo wa mil 120 na zaidi kwa nyumba hii ......ukisubiri miaka 5 unaweza kopa zaidi kwa sababu valuation ya nyumba ni zaidi na kufanya hiyo miradi ......ila kingine tu ukumbuke valuation ya utajiri wa mtu sio faida anayopata .....kuna tofauti kati ya profit na how wealth you are....! kwa hiyo inategemea we malengo yako ni nini ....ya muda mrefu ....unaposema mtu mwenye nyumba 2 pengine zina worth mil 400 amekufa masikini mi sijakuelewa .....au mpaka awe na mil 400 kwenye account ? ila topic nzuri sana kuna mengi na mimi nimejifunza !
 
Umeongea point mm binafsi nmependa wazo lako,ila nazani wengi wanapo pata pesa nyingi kama ml.10,wanaona bora kujenga kuliko kuinvest,ni kutokana na hali ya maisha ya TZ,kazi azina uakika muda wowote unaweza pigwa chini,na je aki invest biashara isipo lipa itakuaje ndio mana mtu ana ona bora kujenga.
 
lara 1 You have a very good point. People should learn to take risks for their own benefits. At my age, i am also faced with this challenge, what comes first? Should I build a house first, or invest? Definitely it is more convincing to think of the returns one may earn by taking the risk of investing rather than building house first.

Then we come to another important point. How do we take risks? Has anyone heard of the term "Calculated Risks?" An important question to ask ourselves, how many businesses or opportunities have we analysed today? Are we ready to invest when opportunities present themselves?

I have personally dedicated this entire year into doing research and investing in different settings, preferably those which offer higher returns (and higher risks of course!) Failure is an important stepping stone towards success.. Lets not undermine ourselves and our potentials, lets believe we can, and we shall reap the best of fruits!
 
Sasa we huoni baba kachemsha! Miaka yote INITIAL CAPITAL kaikalia tu anakusanya tu kodi twa frame anajiona kafikaaaa! Dogo Digitali mwaka tu KARUDISHA INITIAL INVESTMENTS NA RETURNS ZA KUFA MTU!!!!!!!!!!!

Kimsingi saivi hata biashara ikifa haina shoti, coz kesharudisha Initial investments zote! Biashara inajiendesha yenyewe.
Mie kuelewa ila kuna tatizo katika hili wewe unaingalia hii nyumba amabayo tayari imeshasimama ikiwa na thamani hiyo, je unajua kipato cha huyo mtu wakati alipokuwa anaijenga hiyo nyumba? kumbuka utakuta watu wana miliki nyumba ya milioni hata 90 au zaidi cha kushangaza unaweza kuta hajawaki kuwa sh 10Milion cash, fuatilia sana watu wengi wanajengaje tanzania. Kwa mada hii ni nzuri ila hukujaribu kuangalia kwa mapana zaidi umekuja na hitimisho kwa kuthaminisha nyumba zilizojengwa bila kujua kipato cha wajengaji wakati huo walipokuwa wanajenga, usidhani kila anyemiliki nyumba nzuri alikuwa na hela nyingi kwa mkupuo, na ndio maana kuna wazee mujini hapo wana nyumba hata tatu ila waambie kuna kitu cha milioni 15 cash uone kama wanazo, Na ujue kila kitu kina initial stages, kutokana na background pia mwingine anaanza kwa kujenga maana anajua hawezi kuweka hela zikafika kufanya kitu cha maana ndio maana anawekeza huko kwenye nyumba, pia biashara zipo za aina nyingi zingine haziwezi kufanikiwa bila kuwa na sehemu iliyo tulia sio ile hujue mwenye nyumba kesho atasemaje, na kama unavyojua tena wabongo wengine ukifanyia biashara kwenye nyumba yake utakuwa unapandishiwa kodi kila siku mpka ukome, So vizuri kuangalia haya mambo kwa mapana zaidi kuliko kuja na majibu ya moja kwa moja maisha hayana kanunu moja otherwise yangekuwa marahisi sana hasa ukiifuata hiyo kanuni.

NOTE, TAASISI NYINGI ZA MIKOPO YA FEDHA(kama sio zote) SIO RAFIKI WA MASIKINI, na si kila mtu anaweza kufanya biashara. MAAMUZI YEYETO YANAKUWEZESHA KUFANYA KITU SAHIHI NI SAHIHI, kama kujenga inawezekana kwa mtu mwingine ni heri kufanya hivyo kuliko kuizika kwenye biashara wakati hana uwezo wa kuisimamia. maana sio waote wanauwezo wa kujenga pia, MAAMUZI YA LEO NI MATOKEO YA KESHO AMUA VYEMA UPATE VYEMA
 
Mkuu:nimekupata wazo laki nimelikubali.Mimi nimetumia muda mwingi kujenga Nyumba yangu yenye thamani ya sh.50m na nina kiwanja cha sh.20m na nina shamba la heka 10 la thamani ya sh 5m, mpaka sasa sina chochote zaaidi ya hizo aseti tu!!Mkuu naomba msaada wako nifanyeje ili nianze upya ili niweze nifikie huko? Msaada tafadhali na kama kuna mengi ya kunijuza niandikie alicesali@ymail.com thanx
Sawa kabisa kama wazo umelikubali pamaja na wengine hapo juu bado hamjachelewa wawezafufua hizo pesa mlizozizika kwa kujengea nyumba(kwa kuuza hizo nyumba/viwanja)na kuanza kuzungusha hizo pesa.Ni mawazo tu
 
Ni kweli kabisa ulichokisema. Watz wengi tunakimbilia Liability badala ya kuinvest ktk asset zinazoweza kuzalisha. For more detail namna ya kuinvest pitia kitabu cha Robert Kiyosaki "Rich Dad Poor Dad"
 
Haukufikiria hiyo nyumba ambayo thamani yake imeappreciate ndio imekuwa mkombozi? Mdingi asingezika pesa hiyo, hiyo capital ingeoatikana kirahisi?

Si wote wenye uwezo au muda na guts za kufanya biashara wakingali waajiriwa. So kuzika mil. 2 ndio investment au saving if you may. Kuna rafiki yangu ambaye alijenga huku na mjini, kamaliza kazi kauza nyumba ya huku karudi mjini na mtaji wa 80m.
 
Sister ni kweli na Kuna Baadhi ya Nchi kwa sababu ya maswala ya Kiuchumi mtu haruhusiwi kujenga Nyumba kwa pesa yake, kwa sababu madhara yake nimakubwa kuliko Faida, na hata huku Bongo si kwamba Serikali haijui madhara ya watu kujenga nyumba kwa pesa zao,ila Seriali imeamua kupotezea tu
Ila nia uhakika Wanachi tulio wengi sana hatujui Madhara yake na Serikali kwa makusudi haijawahi dhubutu kuongelea hayo Madhara, Ila nakumbuka Mkapa aikwa Presedent aliwahi kugusia hii ishu ingawa hakuingia Deep

Funguka basi kiongozi tukuelewe mbona unakwepa kwepa tu, Kuna tatizo/madhara gani mtu akijenga nyumba kwa pesa zake? Na ushauri wako ni upi sasa kwamba wasijenge wakapangishe nyumba za serikali au?
 
lara 1
Kasumba inatuharibia ubongo
Kasumba ambayo imejengeka si kwa wabongo tu ila kwa wengi tulio wenye asili ya Kiafrika ni kuiga na kutaka sifa. Utakuta mtu anahangaika na kujenga nyumba yenye idadi ile ile ya vyumba ambayo mie naijenga kwa mtindo wa gharama nafuu na kuimaliza kwa muda mfupi lakini mwenzangu anataka plan ya kushindana inayomfikisha miaka 10 -15 kutokamilika. Mjengo wenyewe wanasema wa kisasa wa mapaa manne ambao mimi tangu nazaliwa nimezoea kuuona huko vijijini leo wanasema mjengo wa kisasa.

Zungusha pesa na faida itumike kujengea
Mtazamo finyu ni pale pesa hata ingekuwa milioni tano kuwekeza kwenye msingi wa nyumba badala ya kuiweka kwenye mzunguko wa kibiashara na mapato ya faida ndiyo yatumike katika kujenga kibanda, maana hakuna uhakika 100% utaendelea kupata pesa.

Tajiri anayeongoza dunia hadi leo angali anaishi kwenye nyumba ya kawaida kabisa aliyoijenga 40 years ago, na anasema hilo ndilo lililomsaidia pesa yake kuwa kwenye mzunguko wa biashara bila kuathiri matumizi makubwa katika maisha yake ya kawaida kwa vile ameridhika na kibanda cha kawaida alicho nacho.

Magari ya kifahari nayo ni kitu kinachodidimiza maendeleo. Kumbuka unanunua gari la over 10 million wakati ni mwenzangu wa kipato cha chini na cha kati, hadi gari itoke bandarini na iwe barabarani zaidi ya 15 millioni zitakuwa zimekutoka. Ingetumika subira na uangalifu mkubwa inawezekana 5 millioni kwa gari la kawaida na zingine zikabaki kwenye mzunguko wa kawaida jambo ambalo kiuchumi lingekuwa na manufaa.

Nakumbuka mastaa wengi wa michezo nchini Marekani ambao ni wamarekani weuzi magwiji wa NBA, NFL, MBL, Golf, Boxing nk waliishia na wanaishia kununua majumba makubwa ya kifahari kwa gharama kubwa mno kwani kufyeka nyasi maeneo yanayozunguka nyuma inawagharibu peza ya kununua Range Rover kwa mwaka mmoja, achana na matunzo mengine hali kadhalika utility expenses kitu ambacho wanaishia kufilisika tofauti na wazungu ambao wanawekeza kwenye miradi na wanapoacha michezo huwa wametulia na kula jasho lao.

Tubadilike
Tunahitaji kujenga hali ya kufikiria zaidi kiuchumi na future badala ya mazoea ya kutaka nionekane nina kitu cha pekee au kuonekana nina ubavu. Matokeo ni kutomalizika nyumba kwa wakati kutokana na kuiga za gharama kubwa, kuwa na magari ya kifahari na pengine kufikisha kuyaacha majumbani kwa vile gharama za vipuli, wese na mengineyo yanaleta uvivu kuyatumia ni kwa sababu capital yote niliimiminia kwenye huo mchuma bila kubakiza ya kuweka kwenye mzunguko.

Maisha si mjini au Dar tu
Waliotembea hasa nchi za magharibi wanaweza kukubaliana nami kwamba miji mingi iliyopendelewa miaka mingi inasuasua na pengine kutishia kufa kwa sababu ya miji midogo kuwa na nafasi zaidi ya kusimama. Itafika wakati jiji la Dar pengine kubaki na nyumba zisizokalika miaka 50 -100 ijayo wakati utandawazi utakapokuwa mkubwa na watu kuamua kuishi maeneo mengine yenye nafasi ya kupumua hewa vizuri.

Tunatakiwa wenye nafasi tuekee mikoani ambako nafasi ni kubwa zaidi katika upatikanaji wa viwanja vyenye nafasi ya kuishi kwa raha, kupumua na kuwa na vijiranchi kuliko Dar ambako sasa bei ya kiwanja ni sawa na kujenga nyumba ya mbavu za mbwa ya vyumba vitatu. Huko mikoani utapata kiwanja chenye nafasi ya kulima mchika, kupandi miche ya mipapai, michungwa, mapera nk jambo ambalo kiwanja cha aina hiyo Dar kitakugharimu.

Mleta mada umenikuna, tunatakiwa kuelimishana, tuondokane na tabia za kujitanguliza, kuona, kushindana katika mambo yasiyo na maendeleo ya mzunguko wa pesa, tujenge tabia ya kujenga maisha yenye kutuliza ubongo zaidi badala ya kuumiza vichwa.
 
Back
Top Bottom