DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Wakuu,
Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa.
Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu jiwe la kusagia nafaka kule kijijini kwao alikozaliwa Kwa kuamini vile vile kua nae atabarikiwa.
Na Hao Wote wawili wanamwita huyu WA mwisho kua Ni mshirikina, Muabudu Miungu na Mapepo na aliepotoka haswa.
Kiukweli, Waafrika tujitafakari