Waafrika: Anayeabudu jiwe ili abarikiwe anamcheka anayeabudu mti Kwa kuamini atabarikiwa

Maswala ya kiimani Huwa ni magumu sana Kila mtu anavutia kwake
Waafrika tumeaminishwa ibada zetu Ni mbovu na hazifai.

Hivi unadhani saudia wangesema lile jiwe Ni kimondo kama kile kilichouepo kule mbozi,

Unadhan wangepishana na Pesa ngapi kutokana na Hii biashara ya utalii WA dini
 
Wameamua kuteka akili za waafrika
 
Lile sio Kimondo, wala hakuna hadith yoyote inayosema hivyo, ni watu wanahisi tu.

Ila Historia inasema ni Jiwe alilopewa Ibrahim. Na linaaminika mtu akilishika na kuomba Basi haja zake zinatimia.

Ibrahim - Isaka - Yakobo (ndio alipewa jina la Israel na Mungu).

Jiwe hilo lilikuwa Linaibiwa na kuhamishwa mara kwa mara sehem tofaut tofaut.

Mtume Mohamed alipigana vita had kufika pale na alilifikia kwa kuua watu weng mana wakat huo lilikuwa linamilikiwa na wafanya biashara kwa kutoza vipande vya Gold ili upate msahama kutoka kwa Mungu.

Hizi story ndefu sana.
Anyway hii iko nje ya mada
Mjinga kweli,umeaminishwa hivyo na kukaririshwa,kwanini mawe yoooote duniani yasiwe na nguvu ila hili tu la uarabuni??
 
"NI MIMI BABA YENU MWANDAMBO" Akasikika baba mmoja wa kinyakyusa akiwaaamsha waafrika kutoka katika usingixi wa wakoloni.
 
Lile sio Kimondo, wala hakuna hadith yoyote inayosema hivyo, ni watu wanahisi tu.

Ila Historia inasema ni Jiwe alilopewa Ibrahim. Na linaaminika mtu akilishika na kuomba Basi haja zake zinatimia.

Ibrahim - Isaka - Yakobo (ndio alipewa jina la Israel na Mungu).

Jiwe hilo lilikuwa Linaibiwa na kuhamishwa mara kwa mara sehem tofaut tofaut.

Mtume Mohamed alipigana vita had kufika pale na alilifikia kwa kuua watu weng mana wakat huo lilikuwa linamilikiwa na wafanya biashara kwa kutoza vipande vya Gold ili upate msahama kutoka kwa Mungu.

Hizi story ndefu sana.
Anyway hii iko nje ya mada
Mikono ya Mudi imejaa damu, ameua na kupora sana
 
Wakuu,
Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa.

Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu jiwe la kusagia nafaka kule kijijini kwao alikozaliwa Kwa kuamini vile vile kua nae atabarikiwa.

Na Hao Wote wawili wanamwita huyu WA mwisho kua Ni mshirikina, Muabudu Miungu na Mapepo na aliepotoka haswa.

Kiukweli, Waafrika tujitafakari
Wewe mpumbavu usiandike vitu usivyojua, uislamu upo mbali na ushirikina wa kuabudia kinyume na ALLAH.mtu akifanya hivyo yeye ashatoka kwenye uislamu hata akiwaje

Hayo maneno yako, mafundisho ya uislamu ni haya kwenye hadith

NB: Sahihi Bukhari ni kitabu cha kwanza kinachotegemewa baada ya Quran
 
Attachments

  • Screenshot_20250327-062327.png
    Screenshot_20250327-062327.png
    241.3 KB · Views: 17
Na haiondoi ukweli kuwa ni jiwe
Kabla ya mtume kwenda Macca,
Alipigana Jihad kufika pale.
Aliikuta alkaaba imegeuzwa biashara . Wataeala walichukua vipande vya dhahabu au chumvi kama viingilio ili watu waisogelee lile hekalu, zaman ilikuwa ni sehem imetengwa.

Alivyoifikia na kuitawala ndio akasema kuanzia leo Watu wote wanamuamini yeye kama mtume bas wasujudu kuelekea pale.
Kwa kifup pale ndio Kibra unayoinama kila ukisali.

Walipigana na mashetani yote na kuyatoa pale. Pakawa patakatifu tena.

Ila hii haiondoi dhana kuwa , once kulikuwa ni sehem ambayo wapagan walikuwa wanaenda kusujudu pia.
 
Wengine Hawa hapa,

Wako serious kabisa wanaabudu hili pande la zege lililopigwa rangi nyeupe

Na wakikaa Wanamcheka anayejifungia ndani akibudu jiwe
Umesikia wakitamka mungu zege utusaidie,unauhakika gani kama kuna neno zege au sanamu Hapo
 
Waafrika tumeaminishwa ibada zetu Ni mbovu na hazifai.

Hivi unadhani saudia wangesema lile jiwe Ni kimondo kama kile kilichouepo kule mbozi,

Unadhan wangepishana na Pesa ngapi kutokana na Hii biashara ya utalii WA dini
Hizi ndio mada zinazokufaa

368
 
Wa
Lile sio Kimondo, wala hakuna hadith yoyote inayosema hivyo, ni watu wanahisi tu.

Ila Historia inasema ni Jiwe alilopewa Ibrahim. Na linaaminika mtu akilishika na kuomba Basi haja zake zinatimia.

Ibrahim - Isaka - Yakobo (ndio alipewa jina la Israel na Mungu).

Jiwe hilo lilikuwa Linaibiwa na kuhamishwa mara kwa mara sehem tofaut tofaut.

Mtume Mohamed alipigana vita had kufika pale na alilifikia kwa kuua watu weng mana wakat huo lilikuwa linamilikiwa na wafanya biashara kwa kutoza vipande vya Gold ili upate msahama kutoka kwa Mungu.

Hizi story ndefu sana.
Anyway hii iko nje ya mada
Wakaombee vita ya Gaza iishe basi

Story tu
 
Back
Top Bottom