Waafrika: Anayeabudu jiwe ili abarikiwe anamcheka anayeabudu mti Kwa kuamini atabarikiwa

Lile sio Kimondo, wala hakuna hadith yoyote inayosema hivyo, ni watu wanahisi tu.

Ila Historia inasema ni Jiwe alilopewa Ibrahim. Na linaaminika mtu akilishika na kuomba Basi haja zake zinatimia.

Ibrahim - Isaka - Yakobo (ndio alipewa jina la Israel na Mungu).

Jiwe hilo lilikuwa Linaibiwa na kuhamishwa mara kwa mara sehem tofaut tofaut.

Mtume Mohamed alipigana vita had kufika pale na alilifikia kwa kuua watu weng mana wakat huo lilikuwa linamilikiwa na wafanya biashara kwa kutoza vipande vya Gold ili upate msahama kutoka kwa Mungu.

Hizi story ndefu sana.
Anyway hii iko nje ya mada
ukweli hapo ni kuwa "jiwe ni jiwe tu" tofauti tu ni aina na mahali lilipo👿
 
Wakuu,
Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa.

Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu jiwe la kusagia nafaka kule kijijini kwao alikozaliwa Kwa kuamini vile vile kua nae atabarikiwa.

Na Hao Wote wawili wanamwita huyu WA mwisho kua Ni mshirikina, Muabudu Miungu na Mapepo na aliepotoka haswa.

Kiukweli, Waafrika tujitafakari
Wewe na upumbavu wako ishia kwenye mada za mademu na umalaya tu hujui lolote kuhusu uislamu.

Uislamu ni dini iliyotakasika na ushirikina, Quran kuanzia mwanzo mpaka mwisho inakataza ushirikina ( kuabudu miungu kinyume na ALLAH)

WEWE na upoyoyo wako hata utaratibu wa hija hujui unakuja kuanzisha kitu usichokijua

Hamna muislamu anayeamini alkaaba inaleta madhara au manufaa,

Umewahi kumuona mtu anaomba alkaaba imsaidie?

Kuupakazia uislamu hakutaondosha ukweli kuwa mnaabudia sanamu la mwigizaji
 
Wewe unaelewa nini kuhusu ibada?

Ibada ni nini?

Hapo tutaanza kuona ujinga wako
 
Wewe na upumbavu wako ishia kwenye mada za mademu na umalaya tu hujui lolote kuhusu uislamu.

Uislamu ni dini iliyotakasika na ushirikina, Quran kuanzia mwanzo mpaka mwisho inakataza ushirikina ( kuabudu miungu kinyume na ALLAH)

WEWE na upoyoyo wako hata utaratibu wa hija hujui unakuja kuanzisha kitu usichokijua

Hamna muislamu anayeamini alkaaba inaleta madhara au manufaa,

Umewahi kumuona mtu anaomba alkaaba imsaidie?

Kuupakazia uislamu hakutaondosha ukweli kuwa mnaabudia sanamu la mwigizaji

Kabla ya mtume kwenda Macca,
Alipigana Jihad kufika pale.
Aliikuta alkaaba imegeuzwa biashara . Wataeala walichukua vipande vya dhahabu au chumvi kama viingilio ili watu waisogelee lile hekalu, zaman ilikuwa ni sehem imetengwa.

Alivyoifikia na kuitawala ndio akasema kuanzia leo Watu wote wanamuamini yeye kama mtume bas wasujudu kuelekea pale.
Kwa kifup pale ndio Kibra unayoinama kila ukisali.

Walipigana na mashetani yote na kuyatoa pale. Pakawa patakatifu tena.

Ila hii haiondoi dhana kuwa , once kulikuwa ni sehem ambayo wapagan walikuwa wanaenda kusujudu pia.
 
Kabla ya mtume kwenda Macca,
Alipigana Jihad kufika pale.
Aliikuta alkaaba imegeuzwa biashara . Watu walichukua vipande vya dhahabu au chumvi kama hela ili watu waisogelee lile hekalu, zaman ilikuwa ni sehem imetengwa.

Alivyoifikia na kuitawala ndio akasema kuanzia leo Watu wote wanamuamini yeye kama mtume bas wasujudu kuelekea pale.
Kwa kifup pale ndio Kibra unayoinama kila ukisali.

Walipigana na mashetani yote na kuyatoa pale. Pakawa patakatifu tena.

Ila hii haiondoi dhana kuwa , once kulikuwa ni sehem ambayo wapagan walikuwa anaenda kusujudu pia.
Kwa hiyo msikiti ukivamiwa ukawa baa kisha ukakombolewa utakuwa hufai kufanyia ibada?

Any way uzuri uislamu hauna time ya kuwasikiliza makafiri na hoja zao
 
Mm siko hapa kukashifu Dini yoyote.
Mama angu alikuwa mkristo na Baba Muislamu na nina jina la kiislamu ingawa sasa ni mkristo.

Hoja ya DeepPond isome vizur...

Hatubezi dini yoyote,
Hata zile za mababu zetu, ni dini, tuziheshimu.

Yeye kahoji kwann Dini za Afrika zinachekwa wakat kuna vitu kama vinaoana.
Na akasema tujitafakari
 
Ila dini aisee...

Kuna muda wana wa Israel walikuwa wanasafirisha sanduku la agano bila shangwe likamdondokea askali mmoja na kumuua, ikabidi mfalme wa kibindi hicho afunge kibwebwe kumwanga mauno ili kusitokee adha kama hiyo tena 😅😅😅😅
Kila mwaka zaidi ya watu milioni 2 wanasimama pamoja na kumrushia mawe shetani lakini mpaka sasa bado hakuna hata jiwe moja lililofanikiwa kumlenga ili afe
 
Hili nalo la kuangalia....

Na Hapa hakuna wa kumcheka wala kumkashifu mwenzake.

Ila tunaongea mambo ambayo yako kabisa.

Sasa atatokea mtu atasema ww sijui kafiri na bla bla bla zake nying wakat anatakiwa aelewe Hoja.

Hili la shetani kupigwa mawe kuna hadithi zake pia.
Anapigwa mawe siku 2 had 3 mara nyingine usiku. Tena location nyingne kabisa Kana kwamba ndio anakaa pale, (maana mpaka apigwe mawe anafahamika anakaa hapo). Maana sio Macca tena.
 
Anyway haya Mambo ya Dini , leo hii ni hoja yangu ya mwisho Kuchangia.

Nimesoma dini zote kwa muda mrefu. Hadithi nying pia nazikumbuka.
 
Sanamu iliyotengenezwa kwa mchanga na sementi inaabudiwa, hirizi yangu ya kunikinga ni kwa nini iwe ushirikina? Ushirikina ni hiyo sanamu, tena wa kizungu.
 
Hili nalo la kuangalia....

Na Hapa hakuna wa kumcheka wala kumkashifu mwenzake.

Ila tunaongea mambo ambayo yako kabisa.

Sasa atatokea mtu atasema ww sijui kafiri na bla bla bla zake nying wakat anatakiwa aelewe Hoja.

Hili la shetani kupigwa mawe kuna hadithi zake pia.
Anapigwa mawe siku 2 had 3 mara nyingine usiku. Tena location nyingne kabisa Kana kwamba ndio anakaa pale, (maana mpaka apigwe mawe anafahamika anakaa hapo). Maana sio Macca tena.
Hizi dini za mashariki ya kati Kama una akili zako timamu, unagundua kabisa ni NON-SENSE
 
Very good summary, sote tunaabudu kile kile
Mm siko hapa kukashifu Dini yoyote.
Mama angu alikuwa mkristo na Baba Muislamu na nina jina la kiislamu ingawa sasa ni mkristo.

Hoja ya DeepPond isome vizur...

Hatubezi dini yoyote,
Hata zile za mababu zetu, ni dini, tuziheshimu.

Yeye kahoji kwann Dini za Afrika zinachekwa wakat kuna vitu kama vinaoana.
Na akasema tujitafakari
 
Imagine unaambiwa Ni kosa kwenda kulima na kusujudu kwenye kaburi la mababu na mabibi zako, Huo ni ushirikina na hiyo ni ibada ya mizimu.

Ila ni sawa kufunga safar Hadi Israeli kutembelea na kusujudu kwny kaburi alikozikwa yesu na kumuomba ili akusamehe dhambi zako.

Back
Top Bottom