Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

Ameshashindwa kuilinda.

Angakua na uwezo wa kuilinda asingeamuru watu waue wengine ambao hawamkubali kwa kuwaahidi wanawake mabikra wazuri huko kusipokuwepo kunakoitwa akhera.

Hii comment yako ni kali sana hata naiogopa, kusema Allah (SWT) “hawezi”, ndie huyo huyo aliyekupa pumzi wewe ya kuweza kumkanusha, Astaghfirullahi.
 
Acheni mabishano hakuna dini hata moja iliyo sahihi isipokuwa dini ya KIISILAMU. Na dini hii mwenyewe Allah (SWT) ndio kasema atailinda.
Ulishawahi kikiona kitabu Cha Quruan kimeandikwa kiswahili?

Acha ujinga,jiulize kabla hatujaletewa dini za kigeni Babu zako walikuwa na ma jina ya Shabani au John? He unakuwa maana ya Shabani au John?
 
Acheni mabishano hakuna dini hata moja iliyo sahihi isipokuwa dini ya KIISILAMU. Na dini hii mwenyewe Allah (SWT) ndio kasema atailinda.
Kwa mujibu wa nani[emoji848][emoji848]?, Najua utajibu kwa mujibu wa Quran[emoji23][emoji23],ikiwa Quran imeandikwa na hao hao o walioileta tho
 
Hii ni kutokana na kauli yake mwenye Allah (SWT) ya kuwa dini yake atailinda yeye mwenyewe kwani kaliona hilo ya kuwa kuna wale wataokuja kuihujumu, kuipinga na kuichafua.
Hujajibu swali, dini sahihi unaipima vipi? Huwezi uthibitisha usahihi wa jambo kisa limejitamka kuwa ni sahihi.
mf huwezi sema Katiba ya Nchi fulani ni bora kwa sababu tu katiba hiyo imetamka yenyewe ni katiba bora.
 
Dini sahihi ni dini ya Allah (SWT), dini ya kiisilamu, full stop.
 
Hii comment yako ni kali sana hata naiogopa, kusema Allah (SWT) “hawezi”, ndie huyo huyo aliyekupa pumzi wewe ya kuweza kumkanusha, Astaghfirullahi.
Jifunzeni kujenga hoja kabla hamjaleta hoja
Huu ni mfano mzuri wa "circular Argument" au hoja duara,ambayo kwenye majadiliano/debate ni hoja yenye makosa (fallacy)

1.Quran ni kitabu kisicho na shaka ndani take

Amesema nani?

2.Amesema Allah (SWT)

Amesema wapi?
3.Kwenye Quran

Yaani umerudi pale pale,hapa unataka kuthibitisha uhalali wa Quran kupitia Quran yenyewe ambayo maneno yake ndiyo tunayotaka kuyathibitisha...umeona udhaifu Wa hoja yako?
 
Dini gani ya asili unayoifahamu hapa Tanzania kwa mfamo
 
Ikiwa Quran huiamini na Allah (SWT) pia humuamini kwa hiyo sitakuwa tayari kulumbana na watu wa aina hii.

Njooni madrasa tuwaelimishe Uisilamu na uwepo wa Allah (SWT) kwani huo Ukiristo hamuujui.
 
Dini yetu inabadilika kila sekunde kwa kuangalia upepo unavyokwenda, hivyo ni vigumu kui document.
 
Ruwa Mangi ngakuterewa. Kwa dini zetu za asili Mungu ni Jua. Mungu wa kichagga anaitwa "RUWA" yaani Juwa.

kwenye moja ya wimbo wake, Massada, Alfa Blond anasema i witness Jah sun rising from Masada....

hizi di i za majahazi zimekuja kuvuruga ytaratibu wetu wa kuabudu Mungu wetu.
 
Ahahahah hii wiki sijui ina nini kudadadeki..watu wanatukanana na kujibiana majibu ya shombo karibu kila uzi..nilikuwa sijawahi kuona jibu Kama hili kutoka Kwa Kiranga
Hujanisoma vizuri tu mkuu.

Hapo mbona nimemuheshimu sana tu sijamfungulia bomba.
 
Hujanisoma vizuri tu mkuu.

Hapo mbona nimemuheshimu sana tu sijamfungulia bomba.
Ahahahah mkuu wewe Una heshima sn humu alafu ni role model wa wengi ..haya majibu tuachie Sisi wadogo wadogo tutukanane Ila siyo wewe

Ungempotezea Tu km unavyompotezeaga Yule mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…