cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Mama yako.
Kwani uzi unazungumzia dini ya nani?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Mama yako.
Kwani uzi unazungumzia dini ya nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahHujanisoma vizuri tu mkuu.
Hapo mbona nimemuheshimu sana tu sijamfungulia bomba.
Umejuaje yaan hatareeh tupu.Huyo Allah anayejua lugha moja tu ya kiarabu siwezi kuja huko.
Bora hata ingekuwa lugha ya kiingereza kuliko hiyo kiarabu ambayo hainisaidii chochote.
Huko madrasa vitoto vinachapwa mpaka huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidogo kidogo tu tutaelewana
Narudia Tena kusema
Kuamini miungu ya wayunani,wayahudi na waarabu ingali wewe ni mfipa wa sumbawanga au mbena wa nyumbanitu hayo ni matumizi mabaya ya akili!
Haiwezekani mtu unaacha miungu yako unamvamia Allah na Yehova eti ndio miungu ya kweli
Waafrika tumelogwa aisee
Sijui hatujifunzi kutoka kwa wenzetu wa mashariki ya mbali Kama China na Japan huko huwababaishi na Hadith za mashariki ya Kati kamwe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatareeehaliyekuloga walishamzika huko mecca
Aliyekuambia Kuna mungu mmoja alikudanganya mkuu kila jamii ina miungu yake kamanda hata huyo mtume wenu Mohammed alikua anamuamudu Allah mungu wa pale kaaba kwahiyo wewe Kama mmatumbi ulipaswa uabudu miungu ya mababu zako sio ya waarabu pole sana aisee kwa kua brain washed kwa kuamini wale miungu wa kaaba watakusikiliza!
Thibitisha sasa, sio porojo za kwenye Quran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unadhani uislam umetoka Kwa waarabu?.
Hyo dini NI ya MUNGU MWENYEWE
Hakika kabisaaaahMada kama hizi wale wenye majina ya ubatizo ya Kiitaliano au wale wenye majina ya wapigana Jihadi hawataki kabisa kuzisikia. Lakini nadhani hii ni mada muhimu sana na inatakiwa kujadiliwa kwa kina bila aibu yoyote ile: Japo dini ikizidi utashi kamwe huwezi kufahamu kweli na mada kama hizi huwa zinajawa mihemko mikubwa mno.
Thibitisha kwanza huo msingi dhaifu ulio kwenye Logic?Niliwahi kuisoma elimu ya logic (Mantiki/Ilmul Kalam) elimu hii wao na ukweli wako mbali mbali.
Huwezi kuhitimisha juu ya "Circular Argument" bila kuichambua hoja husika na kujua msingi wake ni upi na ukweli wake ni upi.
Nyinyi huwa mnafikiri kitoto kwa kujenga kanuni zenye ukomo na dhaifu kushinda nyumba ya bui bui.
Ukisoma kitabu kiitwacho "Adabul Bahth wa al munadhara" (The etiquette of research and debate/Adabu za kujadiliana na kufanya utafiti) utaona makosa mengi kwenye mtindo wa kiyunani wa kuhoji na ndiyo asili ya logic huko hasa kwa Aristoto mnayo ishi nayo nyinyi.
Mimi nakupa kazi hii ukiweza naacha kutumia hii ID. Onyesha ufallacy wa hiyo hoja kwa kutumia misingi hiyo ya logic kisha iwe kweli na uwe umepatia.
Kosa la kwanza liko hapa katika namna dhaifu ya kuhoji,kwanza inaonyesha wazi Qur'aan huijui.
Jibu amesema Allah kupitia Malaika muheshimiwa kufika kwa mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.
Swali la pili halija utofauti na swali la kwanza,na jibu lake ni hilo huko juu.
Mbinguni kuna ubao huitwao "Lawhul mahfoodh" ubao wa kuhifadhia mambo,ubao umeandikwa kila kitu na mambo yote yaliyo kadiriwa kutokea. Malaika Jibrili huchukua maneno yale ya Allah kumfikishia mtume na mtume katufikishia sisi.
Kurudi pale siyo hoja,hoja ni wewe kuangalia kosa liko wapi na uweke usahihi wa mambo. Inaonekana kama vile mgeni wa somo la "logic" yaani kama umelisoma au unalisoma basi hushughulishi akili yako kutafakari.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na kufikiria sana,akaunga mkono somo la logic kama fani,sababu linamfanya mtu kuwa mvivu wa kutafakari mambo katika uhalisia wake na kuishi katika misingi dhaifu walio iweka kina Aristoto na wengine.
Ukisoma elimu ya uhakiki wa habari,nafsi ya kwanza huwa shahidi mkubwa sana juu yake. Mathalani,leo hii tukitaka kukujua wewe kiundani na kwa hakika hasa,tuanze na wewe au tuwafate wale wanao kufahamu ? Jibu sahihi la haraka haraka lazima tuanze na wewe,kisha tunahakiko kile unachokisema kisha tukiona haja tunawauliza wale wanao kujua.
Narudia tena,onyesha fallacy katika hoja hiyo kwa kuzingatia matini (contents) zake.
Nimecheka sana.Thibitisha kwanza huo msingi dhaifu ulio kwenye Logic?
Inaonyesha hauko makini katika usomaji wa kile ninachokiandika. Nimekosoa hiyo "Circular argument" kwa kuonyesha haijihusishi na matini yaani kipi kimeandikwa bali ukanushaji wa juu juu na huu ni udhaifu mwingine katika Logic.Thibitisha kwanini hio hoja niliyoweka hapo juu sio "circular", maelezo yote uliyotoa hapo juu ndiyo hiki hiki ninachokipinga hapa
Kila mwenye akili timamu na mwenye kutafakari hapingi hili ya kuwa Qur'aan ni kitabu kiwichokuwa na shaka ndani yake.Ndiyo maana hukuti yafuatayo katika Qur'aan.1.Nani kasema au kuthibitisha kuwa Quran ni kitabu kisicho na shaka ndani take
Umejibu,ni " Allah" kupitia malaika mpaka kumfikia mtume
Katika Qur'aan na Hadithi za mtume. Swali je yaliyo andikwa ni ya uongo ? Hoja iko hapa.2.Nauliza tena,kisa hiki cha Allah kumtuma malaika wake mpaka kwa mtume umekisoma wapi au kimeandikwa wapi?
Udhaifu wa hoja yangu haupo sababu nilichokiandika ni kweli.Utanambia kipo kwenye Quran sura Fulani,bado tu hujaona udhaifu Wa hoja yako kuwa unafanya "self reference"?
Huu mfano mfu na haukai hapa,sababu ukiulizia Qur'aan lazima ujue unaongelea nini. Mtume alikuwa anaombwa ushahidi wa kuthibtisha ya kuwa kile anachokisema kinatoka kweli kwa Mola au kinyume chake. Ndiyo Allah akawathitishia hilo kwa kuwapa "challangee". Hii inaonyesha kushindwa kwao ulikuwa ushahidi tosha ya kuwa Qur'aan inatoka kwake na kuna chain.Yaani ni sawa sawa na hakimu(mpumbavu) ambaye anataka kuthibitisha kuwa mtuhumiwa katenda kosa au lah kwa kumuuliza mtuhumiwa mwenyewe kuwa " umetenda kosa?",mtuhumiwa akisema "hapana", wakili huyu mpumbavu atamuachia huru kwa kuwa mtuhumiwa kasema hajatenda kosa
Naendelea kucheka tena na tena. Nilikuuliza ili tujue ukweli hasa kuhusu wewe,tuanze na watu wa nje au tuanze na wewe mwenyewe kisha tuende kwa wengine. Hili swali hujalijibu unaruka ruka.Hapa mtuhumiwa wetu ni " Quran" ,tunataka kuthibitisha "uharari Wa maneno yake"...hatutakiwi kutumia Quran kuthibitisha uhalali Wa Quran....njoo na ushahidi nje ya Quran
Kutaka ushahidi nje ya Qur'aan huu ni udhaifu katika kujenga hoja na kushindwa kuvunja hoja yangu.Njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Allah alishusha kitabu kwa Mohammed, njoo na ushahidi nje ya Quran kuwa Mohammed aliwahi gawanya mwezi vipande viwili..
Napoteza mda wangu tu kumbe na kilaza mmojaNimecheka sana.
Ngoja nianzie hapa. Msingi wa logic ni AKILI. Akili ina ukomo kama yalivyo macho yana ukomo katika kuona. Unakubaliana na hili ? Kama unakataa inabidi uonyeshe ukamilifu wa akili kisha nikuulize maswali.
Inaonyesha hauko makini katika usomaji wa kile ninachokiandika. Nimekosoa hiyo "Circular argument" kwa kuonyesha haijihusishi na matini yaani kipi kimeandikwa bali ukanushaji wa juu juu na huu ni udhaifu mwingine katika Logic.
Nilikwambia kosoa kilichoandikwa na uonyeshe udhaifu wake. Hili hujalifanya.
Kila mwenye akili timamu na mwenye kutafakari hapingi hili ya kuwa Qur'aan ni kitabu kiwichokuwa na shaka ndani yake.Ndiyo maana hukuti yafuatayo katika Qur'aan.
1. Huku makosa katika Qur'aan
2. Hakuna aliyeweza kuleta mfano hata wa aya moja.
Sasa wewe unatakiwa ukanushe ya kuwa si Allah.
Katika Qur'aan na Hadithi za mtume. Swali je yaliyo andikwa ni ya uongo ? Hoja iko hapa.
Udhaifu wa hoja yangu haupo sababu nilichokiandika ni kweli.
Ngoja nikuulize swali dogo. Ushahidi wa Mtu mmoja unakubalika au haukubaliki ?
Hivi hujaona udhaifu wa Logic mpaka muda huu,kama hujaona utakuwa na matatizo ya AKILI. Kwanini hamjishughulishi na UKWELI ? Yaani kujua hakika ya mambo ?
Huu mfano mfu na haukai hapa,sababu ukiulizia Qur'aan lazima ujue unaongelea nini. Mtume alikuwa anaombwa ushahidi wa kuthibtisha ya kuwa kile anachokisema kinatoka kweli kwa Mola au kinyume chake. Ndiyo Allah akawathitishia hilo kwa kuwapa "challangee". Hii inaonyesha kushindwa kwao ulikuwa ushahidi tosha ya kuwa Qur'aan inatoka kwake na kuna chain.
Naendelea kucheka tena na tena. Nilikuuliza ili tujue ukweli hasa kuhusu wewe,tuanze na watu wa nje au tuanze na wewe mwenyewe kisha tuende kwa wengine. Hili swali hujalijibu unaruka ruka.
Lingine si "uharari" sahihi ni "uhalali".
Nani amekwambia ya kuwa nafsi ya kwanza si shahidi kuthibitisha ukweli juu yake ? Huu ujinga unautoa wapi au umeusoma wapi ?
Kutaka ushahidi nje ya Qur'aan huu ni udhaifu katika kujenga hoja na kushindwa kuvunja hoja yangu.
Tukio la kupasuka kwa mwezi mapokezi yake ni mutawatiri (yamesimuliwa na wengi).
Lakini mazingira yake hayakuruhusu kuripotiwa na watu walio kuwa nje,labda walio kuja baadae kupokea mapokeo hayo.
Mwisho kabisa,kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Hujajibu maswali yangu.Napoteza mda wangu tu kumbe na kilaza mmoja
Nimekuomba Mara mbili uthibitishe "credibility" ya Quran nje ya Quran,umeshindwa.Hujajibu maswali yangu.
Mpaka unakufa huwezi kuleta usahihi wa logic na kukosoa ninacho kiandika kielimu.
Hili sijui unataka nilelete mara ngapi ?Nimekuomba Mara mbili uthibitishe "credibility" ya Quran nje ya Quran,umeshindwa.
Nimekupa assignment ya kuthibitisha "splitting of the moon" nje ya Quran,umeshindwa
Ni kama na jadili na mtoto mdogo,
Inawezekana hujui hata maana ya "circular reasoning", unaposema MTU mwenye akili timamu hawezi kupinga maneno ya kwenye Quran ndiyo hoja gani hii?
Unajua nini kinafanya mtu awe na akili timamu?
Staff scientist wa NLSI wanakwambia hakuna evidence yoyote ya mwezi kugawanywa na Mohammed kama Quran inavyodai,huyo pia hana akili timamu?
Lete hapa ushahidi wa kitabibu kuwa MTU mwenye akili timamu lazima aamini Quran
Ukishindwa kuleta,usini quote tena
"Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa MTU ukweli na haina uwezo huo"Hili sijui unataka nilelete mara ngapi ?
Nachotaka mimi ni wewe ujibu maswali niliyo kuuliza. Ukijbu maswali hayi kazi yangu inakuwa imeisha.
Kingine nacho kushauri ni usome sana,Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa mtu ukweli na hina uwezo huo. Sasa kwa ujinga wako unataka ujue ushahidi wa kupasuka kwa mwezi kwa watu ambao hata kufika mwezini hawakufika.
Sayansi ina vimbwanga vyake,inaonekana ni mshabiki wa haya mambo au ni mgeni katika jambo hili.
Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.
Maswali makini sana sema ubaya ni kwamba washa wekewa limit kujibu inakuwa shida zaidi utaletewa hadithi na vitisho"Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa MTU ukweli na haina uwezo huo"
Haya maneno anayasema mtu mmoja,kupitia simu yake(zao LA sayansi) iliyounganishwa na internet (zao la sayansi) na kuhifadhiwa ndani ya server ya jamiiforums(zao la sayansi)...
Ficha ujinga wako,Maswali niliyokuuliza umeshindwa kuyajibu,
Nipe "credibility" ya Quran nje ya Quran,unakwepa hili swali kwanini?
Ukitumia Quran Ku prove credibility ya Quran,
Muhindu atatumia Gita Ku prove credibility ya Hinduism au uwepo wa Mungu Vishnu..
Nipe ushahidi nje ya Quran kuwa mtume Mohammed aligawanya mwezi vipande viwili?
Brain washingMaswali makini sana sema ubaya ni kwamba washa wekewa limit kujibu inakuwa shida zaidi utaletewa hadithi na vitisho
Kama dini ni kutobadilika badilika katika msingi wake wa ibada, Uislamu na Ukristo si dini.Dini ni tamko lenye asili ya kiarabu lenye maana ya NJIA,hii ni maana ya kilugha. Kadhalika tamko hili limefasiriwa kwa maana ya mfumo wa maisha anao ishi nao mwanadamu tangu ana amka mpaka anapo lala.. Lakini tamko hili pia limetafsiriwa kwa maana ya "Siku ya Kiyama".
Ama kiistilahi ni mwenendo wa kiimani katika kuabudu.
Naijua dini kwa kutokuwa na hali ya kubadilika badilika katika msingi wake wa ibada.
Lakini hyo sayansi mliyoipondea ndo ilidhihirisha ukakasi wa dini pale kulipopigwa marufuku mikusanyiko ya makka!.. au unataka kusema Mungu alishindwa kutetea afya za wanaomuabudu hvyo ibada ikaahirisha mpaka corona iishe!?..Hili sijui unataka nilelete mara ngapi ?
Nachotaka mimi ni wewe ujibu maswali niliyo kuuliza. Ukijbu maswali hayi kazi yangu inakuwa imeisha.
Kingine nacho kushauri ni usome sana,Sayansi haipo kwa ajili ya kumpa mtu ukweli na hina uwezo huo. Sasa kwa ujinga wako unataka ujue ushahidi wa kupasuka kwa mwezi kwa watu ambao hata kufika mwezini hawakufika.
Sayansi ina vimbwanga vyake,inaonekana ni mshabiki wa haya mambo au ni mgeni katika jambo hili.
Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.