Thibitisha kimantiki kwamba Allah yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.Acheni mabishano hakuna dini hata moja iliyo sahihi isipokuwa dini ya KIISILAMU. Na dini hii mwenyewe Allah (SWT) ndio kasema atailinda.
mkuu naungana na wewe kiufupi sijawahi kua muumini wa dini za mashariki ya Kati tangu nilipoanza kujitambua na naapa sitawahi kuja kuzielewa kamweMada fikirishi sana hii na nimeipenda sana we jamaa nikama umekuwa na mawazo yanayo fanana kuhusu hilo swala la imani,
Maana mimi binafsi sielewagi kwanini dini zetu zinafinyangwa na watu wakuja alafu tupo tunashangilia tu na watu wengi wanaelewa hili lakini bado wanaogopa kujitokeza kusimamia ukweli wetu waafrica ,
Inasikitisha sana yaani waafrica tunakiwa tegemezi tu hadi kwenye imani, huu ni ubumbufu wa fikra kabisa,
Mimi najitolea kupambania hili swala kuinua dini yetu , mwenye atapenda kuipambanie imani yetu ajitokeze tuinue imani yetu sasa karibuni
Unatakiwa vitu kujifunza ili ufahamu. Kila mtu ataulizwa kutokana na ufahamu wake na ujumbe uliomfikia. Mwenyezi Mungu hapangiwi atakavyo binadamu.Link imejaa explanations za ku justify na kufafanua uongobm kwa uongo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, habari zake zisingehitaji ufafanuzi wenye utata.
Ufafanuzi wenye utata unaonesha Mungu huyo hayupo, kaandikwa na watu tu.
Kwani huyo Mungu alishindwa kuweka habari zake kwenye DNA ya kila mtu, ili kila mtu amjue, bila kuhitaji kujua kusoma wala kujua Kiarabu?
Mavi yako jonga kabosa Warabu watakuwoaa soon!!Acheni mabishano hakuna dini hata moja iliyo sahihi isipokuwa dini ya KIISILAMU. Na dini hii mwenyewe Allah (SWT) ndio kasema atailinda.
Katika hizi dini 2 zilizoletwa na waarabu na wazungu, hii iliyoletwa na waarabu inaongozwa kwa ubabe na kuchinjana kama mbuzi, sijui Mungu wao anapenda sana damu!!? ona Msumbiji sasa!!Waafrika ni specie ya binadamu mpumbavu sana. sana sana!!!! Eti mtu mweusi mwenye dini ya kiislamu iliyoletwa na wageni ana mchija mtu mweusi asiye muislamu!!!!!
Kama Allah alisema atailinda dini yake, na hao jamaa wa Msumbiji wanampigania Allah yupi kulinda dini yake??Acheni mabishano hakuna dini hata moja iliyo sahihi isipokuwa dini ya KIISILAMU. Na dini hii mwenyewe Allah (SWT) ndio kasema atailinda.
Sasa mtu ambaye ana ufahamu mdogo, kwa sababu Allah hakumjalia ufahamu mkubwa, na kwa hivyo hakumjua Allah, huyo naye atahukumiwa kwa kutomjua Allah kwa sababu ya ufahamu wake mdogo ambao kapewa na Allah?Unatakiwa vitu kujifunza ili ufahamu. Kila mtu ataulizwa kutokana na ufahamu wake na ujumbe uliomfikia. Mwenyezi Mungu hapangiwi atakavyo binadamu.
hicho ni moja Kati ya vituko vya huyo Allah wanaedai ni Mungu muumba wa vitu vyote mkuu tuwavumile hawa ndugu zetu kwa kua brain washed!Sasa mtu ambaye ana ufahamu mdogo, kwa sababu Allah hakumjalia ufahamu mkubwa, na kwa hivyo hakumjua Allah, huyo naye atahukumiwa kwa kutomjua Allah kwa sababu ya ufahamu wake mdogo ambao kapewa na Allah?
Kama Allah alisema atailinda dini yake, na hao jamaa wa Msumbiji wanampigania Allah yupi kulinda dini yake??
Mwenyezi Mungu hawezi kuhukumu wote kwa 'level moja'. Kuna wale ambao wasiokuwa na akili timamu , watoto na wale ambao hawajafikiwa na ujumbe. Hao watakuwa na hoja madhubuti tofauti mimi na wewe ambao ujumbe ulitufikia tukakanusha kutokana na sababu zetu.Sasa mtu ambaye ana ufahamu mdogo, kwa sababu Allah hakumjalia ufahamu mkubwa, na kwa hivyo hakumjua Allah, huyo naye atahukumiwa kwa kutomjua Allah kwa sababu ya ufahamu wake mdogo ambao kapewa na Allah?
Mavi yako jonga kabosa Warabu watakuwoaa soon!!
Nana yako anhezaliwa akijiita mkristo ungesifia ukristo kenge wa blue wewe
No jora nokachomwe moto na Uaffrika wangu siyo ushenzi huo
Inasikitisha sana kuona mpaka leo zama hizi za teknolojia na habari, karibu kila kitu cha msingi kiko wazi, halafu kuna watu wanaamini uongo huu bado.hicho ni moja Kati ya vituko vya huyo Allah wanaedai ni Mungu muumba wa vitu vyote mkuu tuwavumile hawa ndugu zetu kwa kua brain washed!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyezi Mungu hawezi kuhukumu wote kwa 'level moja'. Kuna wale ambao wasiokuwa na akili timamu , watoto na wale ambao hawajafikiwa na ujumbe. Hao watakuwa na hoja madhubuti tofauti mimi na wewe ambao ujumbe ulitufikia tukakanusha kutokana na sababu zetu.Sasa mtu ambaye ana ufahamu mdogo, kwa sababu Allah hakumjalia ufahamu mkubwa, na kwa hivyo hakumjua Allah, huyo naye atahukumiwa kwa kutomjua Allah kwa sababu ya ufahamu wake mdogo ambao kapewa na Allah?
Kuna aya ya Quran inasema kuna watu Allah atawaziba macho na masikio wasimjue.Mwenyezi Mungu hawezi kuhukumu wote kwa 'level moja'. Kuna wale ambao wasiokuwa na akili timamu , watoto na wale ambao hawajafikiwa na ujumbe. Hao watakuwa na hoja madhubuti tofauti mimi na wewe ambao ujumbe ulitufikia tukakanusha kutokana na sababu zetu.
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa(2:6-7)Kuna aya ya Quran inasema kuna watu Allah atawaziba macho na masikio wasimjue.
Atawafanya mioyo yao iwe mizito wasimjue.
Kisha atawapa hawa hukumu kubwa kwa kutomjua.
Msihangaike nao.
Unaijua hiyo aya?
Na kwa nini Mungu mwenye upendo awazibe watu macho, masikio na kufanya mioyo yao iwe mizito wasimjue, kisha awape hukumu kubwa kwa kutomjua?
Surat Al-Baqarah [2:6-7] - The Noble Qur'an - القرآن الكريم
Surat Al-Baqarah [verses 6-7] - Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.legacy.quran.com
Unaelewa unaji contradict hapo?Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa(2:6-7)
Bila shaka unamaanisha aya hizi hapa.
Mwenyezi Mungu hakuwadhulumu watu hawa badala yake walijidhulumu wao wenyewe. kwa hivyo sio kwa sababu Mwenyezi Mungu ameweka muhuri mioyoni mwao kwamba hawa makafiri hawaelewi na wanaamini, lakini ni kinyume chake. Ni kwa sababu hawa makafiri wamekusudia kukataa ukweli na ikiwa wataonywa au la hawataamini, basi Mwenyezi Mungu amepiga muhuri mioyoni mwao.
Mioyo yao imefungwa tu kwa muda mrefu wanapotaka kujiweka katika kukataa na ujinga. Kwa hivyo, ikiwa mtu anataka kufungua macho yake na kujifunza, muhuri wake utaondolewa kwa sababu mlango wa toba uko wazi kila wakati.
Isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.(25:70)
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa(2:6-7)
Bila shaka unamaanisha aya hizi hapa.
Mwenyezi Mungu hakuwadhulumu watu hawa badala yake walijidhulumu wao wenyewe. kwa hivyo sio kwa sababu Mwenyezi Mungu ameweka muhuri mioyoni mwao kwamba hawa makafiri hawaelewi na wanaamini, lakini ni kinyume chake. Ni kwa sababu hawa makafiri wamekusudia kukataa ukweli na ikiwa wataonywa au la hawataamini, basi Mwenyezi Mungu amepiga muhuri mioyoni mwao.
Mioyo yao imefungwa tu kwa muda mrefu wanapotaka kujiweka katika kukataa na ujinga. Kwa hivyo, ikiwa mtu anataka kufungua macho yake na kujifunza, muhuri wake utaondolewa kwa sababu mlango wa toba uko wazi kila wakati.
Isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.(25:70)
Hapa wametajwa wale waliokufuru ambao ujumbe wameupata lakini bado wanaendelea kukadhibisha aya zilizo wazi. Kwa hiyo sio kwamba hawajajua kuhusu habari ya Mwenyezi Mungu ila viburi vyao vikafanywa wakapigwa muhuri. Na wengine wapo mbalimbali kwenye zama zilizopita walishahukumiwa moja kwa moja tangu dunianiUnaelewa unaji contradict hapo?
Mungu kaingia kafunga moyo wa mtu, halafu mtu akifa na kusema sijakujua Mungu kwa sababu ulinifunga moyo wangu nisikujue, usingenifunga moyo ningekujua, Mungu atajitetea vipi hapo?
Atheists wana ubishi usiokuwa na mfano.Shekhe hawa Pagans watakupa shida sana ni bora kuwaangalia tu. Mtu kufika kumkanusha aliyemuumba wewe hutomuweza.
kwenye dini yenu ya chinja chinja mkamfundishe kuchinja piaIkiwa Quran huiamini na Allah (SWT) pia humuamini kwa hiyo sitakuwa tayari kulumbana na watu wa aina hii.
Njooni madrasa tuwaelimishe Uisilamu na uwepo wa Allah (SWT) kwani huo Ukiristo hamuujui.