Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Tumerushwa toka Ujima Hadi Ubepari.Stage nyingi sana za maendeleo tumerushwa hivyo ngumusana kufika panapotakiwa
😂 😂 😂Kuna movie moja inaonesha mtu wa stone age anavyohangaika kukamata samaki, kaingia kwenye maji ya kina kifupi na rundo la mawe ya kupopolea samaki wanaokatiza karibu...
Basi tu. Usiumize kichwa sana.Sasa kalenda inahusika vipi hapo
Waafrika hatuna laanaUpo uwezekano mkubwa sana.
Hatahivyo niongeze tu....
Bongo Dili,
Hii dhana kwamba "Tuna Laana" au "Tanakufa na Magonjwa" na narratives zingine, zilitokana na barua zao wenyewe. It came from their correspondance.
Ilikuwa hivi: Wakiwa wana taarafiana kuhusu yanayojiri, walikuwa wakisema au kuwaambia wenzao Ulaya "Tunakufa na magonjwa huku"
Na walikufa wengi kweli, (RIP)kwa sababu walikuja bila ya madawa yao, it was their Genuine concern ya maisha yao, sio ya Waafrika.
Na Wengine walikuwa wakilalamika kwamba "Tuna laana"
Hayo yaliandikwa na vijana wengi tu waliotumwa kuja kufanya tafiti za kuzamia huku na kwa sababu ya mauaji ya halaiki waliyofanya wakifanya yafiti hizo and so on, na ile guilt, ndio iliwapeleka kusema "Tuna laana" the rest is history na walikuja kupindisha.
Na walivyoona narrative hiyo inawapa athari chanya, wakaacha iwe hivyo. U
Ushahidi upo, tafuteni mtapata, waliyokuwa wakifanya.
Achana na propaganda za mapanafricanist,kwamba skilled people walichukuliwa ulaya.Bongo, pale ulipopata haya maarifa wana majibu. Iwe ni Vitabuni, Shuleni, N.k
Kumbuka tulikuwa na Maktaba zetu za Vitabu na Maarifa mengine...Including Calendars. Moja ilikuwa Alexandria, Nyingine Tumbaktu na inasemekana hata Zimbabwe ilikuwepo nyingine.
Hatahivyo, wakati wakiwachukua watu kwenda kulima sukari huko ulaya, walichukua the best of the best. Na ushahidi upo.
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuondoa na kufuta maarifa kutoka Afrika. Imagine leo tuwachukue majiniasi wa Ulaya. Unafikiri watabaki na nini kama siyo kuangali tik tok peke yake. Sic
Swali: Kama Afrika tulikuwa na watu best kwanini hawakuona mbali na kwenda Ulaya, Asia na Amerika kuwachukua watu best walete maendeleo huku kwetu?Bongo, pale ulipopata haya maarifa wana majibu. Iwe ni Vitabuni, Shuleni, N.k
Kumbuka tulikuwa na Maktaba zetu za Vitabu na Maarifa mengine...Including Calendars. Moja ilikuwa Alexandria, Nyingine Tumbaktu na inasemekana hata Zimbabwe ilikuwepo nyingine.
Hatahivyo, wakati wakiwachukua watu kwenda kulima sukari huko ulaya, walichukua the best of the best. Na ushahidi upo.
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuondoa na kufuta maarifa kutoka Afrika. Imagine leo tuwachukue majiniasi wa Ulaya. Unafikiri watabaki na nini kama siyo kuangali tik tok peke yake. Sic
Wana jitapa tapa tu. Wazungu walichukuwa watumwa wenye nguvu basi.Achana na propaganda za mapanafricanist,kwamba skilled people walichukuliwa ulaya.
Kwanini iwe ni propaganda? Ni ukweli upi uujuao wewe?Achana na propaganda za mapanafricanist,kwamba skilled people walichukuliwa ulaya.
Aisee.Wana jitapa tapa tu. Wazungu walichukuwa watumwa wenye nguvu basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta historia ya Waafrika waliotua Virginia Marekani.Kwanini iwe ni propaganda? Ni ukweli upi uujuao wewe?
Mkuu nilikuwa sikuzingatii comments zako ila the way umetizama hili suala na the way umeelezea jinsi unavyoliona hakika wewe ni Syllogist na kuanzia sasa nitakua nafuatilia comments zako japo haibadilishi uhalisia kuwa wazungu wana uwezo wa kutufanya chochoteKwa kweli nikisema najua, nitakuwa nadanganya.
Hatahivyo ninachojua, we are fighting(Resisting) for lack of a better word... kuna vitu tunafanya, mfano tunaunda Umoja kama vile AU....ni matokeo ya resistance. Our collective efforts.
Itoshe, kwa sasa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu za Kiuchumi. Watafilisika
Sababu nyingine, watashindwa kutawala kwa amani nchini mwao kwa sababu dunia ya sasa ni ya mchanganyiko wa watu, na hivyo wanaweza kupata upinzani wa ndani ambao utafanya jambo hilo kuwa counter intuitive(swahili kapuni hapo)
Ila basi, bado wanaendelea kufanya hivyo,(dominating) kupitia njia zingine kama za kiuchumi na kijamii.
Hiyo vita yetu walikua wanatumia silaha gani?.Kama wao walikuja na mapanga na chuma walianza kutengeneza wao wafrika walikua wanatumia nyenzo gani yakivita yakisasa ili wawe wamejifunza kwetu.maana naona nikama unajariji tu.Wazungu tumewafundisha mbinu za Kivita.Vita za misituni.... Camouflage.
Wao walikuwa wanakimbizana tu na kukatana mapanga bila mipangilio.
Walivyotokea kwetu ndio walijua hawajui.
Siku tukakayokubali ukweli ndio siku tutakayoweka misingi yakujikomboa.Hadi leo tunalaumu wazungu kwenye mambo ambayo yanatokana na ujinga wetu.hiyo yote nikwasababu sisi ni dhaifu na hatutaki kukubali ili tujifunze kua imara.Sasa kukana ukweli bila kujua namna yakuurekebisha haina manufaa yoyote.Una ji underestimate mkuu, acha upuuzi kuwatukuza weupe.
Jikubali
Unazungumzia umoja ambao kuwaweka tu sawa wacongo miaka na miaka wameshindwa.Waafrika tunashindwa kuongozana wenyewe tunabaki kuuana kwakugombania madaraka na rasilimali ili tuzipeleke kwa wazungu kwa mlango wa nyuma tutaweza nini sisi.Kwa kweli nikisema najua, nitakuwa nadanganya.
Hatahivyo ninachojua, we are fighting(Resisting) for lack of a better word... kuna vitu tunafanya, mfano tunaunda Umoja kama vile AU....ni matokeo ya resistance. Our collective efforts.
Itoshe, kwa sasa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu za Kiuchumi. Watafilisika
Sababu nyingine, watashindwa kutawala kwa amani nchini mwao kwa sababu dunia ya sasa ni ya mchanganyiko wa watu, na hivyo wanaweza kupata upinzani wa ndani ambao utafanya jambo hilo kuwa counter intuitive(swahili kapuni hapo)
Ila basi, bado wanaendelea kufanya hivyo,(dominating) kupitia njia zingine kama za kiuchumi na kijamii.
Hakuna sababu ya kua na historia ambayo haitubadilishi kurudi kua bora zaidi toka uko nyuma wakati wa hiyo historia.Hii mada na wachangiaji wengi vinatia aibu hata kusoma!
Mmeshakua watu wazima sasa, tafuteni history ya bara lenu kabla ya Ukoloni. Itafuteni history ya mtu wa Afrika (Akebulan), mapambano yake na juhudi zake katika kuyaishi maisha yake!
Maajabu mtasema hizo history zenyewe zimeandikwa na hao hao wakoloni/wamishionari lakini kwa dunia tuliyopo sasa, huukosi ukweli japo kiduchu.
Tusome na kutafiti sana kutuhusu kwa faida na manufaa yetu na vizazi vyetu kwa maana huwezi kujua unapokwenda Kama hujui wapi umetoka, utaburuzwa tu.
View attachment 2900697
View attachment 2900698
View attachment 2900699
View attachment 2900700
View attachment 2900701
View attachment 2900702
View attachment 2900703
Picha ya tatu inasoma “village of Manyuema/Manyema.
View attachment 2900708
Angalia jinsi mji ulivyopangika. Hii ni kabla ya ujio wa wakoloni/wamishionari/wafanyabiashara za ndovu na binaadam/wasaka dhahabu.
Tulikariri Dar es salaam/Mzizima ni mji wa Wazaramo/Wakwere lakini ushahidi unasema wakazi wa kwanza / wenyeji wa mwanzo (sio waAsili) ni Wamanyema.
Ingia Google check Historum/African History/Africa before Colonization.