Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

Stage nyingi sana za maendeleo tumerushwa hivyo ngumusana kufika panapotakiwa
Tumerushwa toka Ujima Hadi Ubepari.
Ndio maana unaona hivi tulivyo sasa.

Ni sawa leo Watazania wote twende Uwingereza na Nguo zetu tu tuache kila kitu hapa.

Na Waingereza waje Tanzania na Nguo zao tu waache kila kitu huko kwao.

Baada ya miaka mitano tu sisi tutakuwa masikini kuliko tulivyo hivi sasa.
Na wao watakuwa Matajiri mara dufu kuliko walivyo hivi sasa.

Tafakari.
 
Sasa kalenda inahusika vipi hapo
Basi tu. Usiumize kichwa sana.

Ujumbe ni kwamba....Ati hatuna tulichovumbua. Yaani kuna watu karne hii wanafikiri hata kula, au kulia machozi Mwafrika, tumefundishwa na Wazungu. Kazi kweli.
 
Upo uwezekano mkubwa sana.

Hatahivyo niongeze tu....

Bongo Dili,

Hii dhana kwamba "Tuna Laana" au "Tanakufa na Magonjwa" na narratives zingine, zilitokana na barua zao wenyewe. It came from their correspondance.

Ilikuwa hivi: Wakiwa wana taarafiana kuhusu yanayojiri, walikuwa wakisema au kuwaambia wenzao Ulaya "Tunakufa na magonjwa huku"
Na walikufa wengi kweli, (RIP)kwa sababu walikuja bila ya madawa yao, it was their Genuine concern ya maisha yao, sio ya Waafrika.

Na Wengine walikuwa wakilalamika kwamba "Tuna laana"
Hayo yaliandikwa na vijana wengi tu waliotumwa kuja kufanya tafiti za kuzamia huku na kwa sababu ya mauaji ya halaiki waliyofanya wakifanya yafiti hizo and so on, na ile guilt, ndio iliwapeleka kusema "Tuna laana" the rest is history na walikuja kupindisha.
Na walivyoona narrative hiyo inawapa athari chanya, wakaacha iwe hivyo. U

Ushahidi upo, tafuteni mtapata, waliyokuwa wakifanya.
Waafrika hatuna laana
 
Bongo, pale ulipopata haya maarifa wana majibu. Iwe ni Vitabuni, Shuleni, N.k

Kumbuka tulikuwa na Maktaba zetu za Vitabu na Maarifa mengine...Including Calendars. Moja ilikuwa Alexandria, Nyingine Tumbaktu na inasemekana hata Zimbabwe ilikuwepo nyingine.

Hatahivyo, wakati wakiwachukua watu kwenda kulima sukari huko ulaya, walichukua the best of the best. Na ushahidi upo.

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuondoa na kufuta maarifa kutoka Afrika. Imagine leo tuwachukue majiniasi wa Ulaya. Unafikiri watabaki na nini kama siyo kuangali tik tok peke yake. Sic
Achana na propaganda za mapanafricanist,kwamba skilled people walichukuliwa ulaya.
 
Bongo, pale ulipopata haya maarifa wana majibu. Iwe ni Vitabuni, Shuleni, N.k

Kumbuka tulikuwa na Maktaba zetu za Vitabu na Maarifa mengine...Including Calendars. Moja ilikuwa Alexandria, Nyingine Tumbaktu na inasemekana hata Zimbabwe ilikuwepo nyingine.

Hatahivyo, wakati wakiwachukua watu kwenda kulima sukari huko ulaya, walichukua the best of the best. Na ushahidi upo.

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuondoa na kufuta maarifa kutoka Afrika. Imagine leo tuwachukue majiniasi wa Ulaya. Unafikiri watabaki na nini kama siyo kuangali tik tok peke yake. Sic
Swali: Kama Afrika tulikuwa na watu best kwanini hawakuona mbali na kwenda Ulaya, Asia na Amerika kuwachukua watu best walete maendeleo huku kwetu?
 
Kwa kweli nikisema najua, nitakuwa nadanganya.

Hatahivyo ninachojua, we are fighting(Resisting) for lack of a better word... kuna vitu tunafanya, mfano tunaunda Umoja kama vile AU....ni matokeo ya resistance. Our collective efforts.

Itoshe, kwa sasa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu za Kiuchumi. Watafilisika

Sababu nyingine, watashindwa kutawala kwa amani nchini mwao kwa sababu dunia ya sasa ni ya mchanganyiko wa watu, na hivyo wanaweza kupata upinzani wa ndani ambao utafanya jambo hilo kuwa counter intuitive(swahili kapuni hapo)

Ila basi, bado wanaendelea kufanya hivyo,(dominating) kupitia njia zingine kama za kiuchumi na kijamii.
Mkuu nilikuwa sikuzingatii comments zako ila the way umetizama hili suala na the way umeelezea jinsi unavyoliona hakika wewe ni Syllogist na kuanzia sasa nitakua nafuatilia comments zako japo haibadilishi uhalisia kuwa wazungu wana uwezo wa kutufanya chochote
 
Hii mada na wachangiaji wengi vinatia aibu hata kusoma!

Mmeshakua watu wazima sasa, tafuteni history ya bara lenu kabla ya Ukoloni. Itafuteni history ya mtu wa Afrika (Akebulan), mapambano yake na juhudi zake katika kuyaishi maisha yake!

Maajabu mtasema hizo history zenyewe zimeandikwa na hao hao wakoloni/wamishionari lakini kwa dunia tuliyopo sasa, huukosi ukweli japo kiduchu.

Tusome na kutafiti sana kutuhusu kwa faida na manufaa yetu na vizazi vyetu kwa maana huwezi kujua unapokwenda Kama hujui wapi umetoka, utaburuzwa tu.

IMG_3925.jpg

IMG_3923.jpg

IMG_3921.jpg

IMG_3896.jpg

IMG_3895.jpg

IMG_3893.jpg

IMG_3897.jpg

Picha ya tatu inasoma “village of Manyuema/Manyema.

IMG_3926.jpg

Angalia jinsi mji ulivyopangika. Hii ni kabla ya ujio wa wakoloni/wamishionari/wafanyabiashara za ndovu na binaadam/wasaka dhahabu.

Tulikariri Dar es salaam/Mzizima ni mji wa Wazaramo/Wakwere lakini ushahidi unasema wakazi wa kwanza / wenyeji wa mwanzo (sio waAsili) ni Wamanyema.

Ingia Google check Historum/African History/Africa before Colonization.
 
Wazungu tumewafundisha mbinu za Kivita.Vita za misituni.... Camouflage.

Wao walikuwa wanakimbizana tu na kukatana mapanga bila mipangilio.

Walivyotokea kwetu ndio walijua hawajui.
Hiyo vita yetu walikua wanatumia silaha gani?.Kama wao walikuja na mapanga na chuma walianza kutengeneza wao wafrika walikua wanatumia nyenzo gani yakivita yakisasa ili wawe wamejifunza kwetu.maana naona nikama unajariji tu.
 
Una ji underestimate mkuu, acha upuuzi kuwatukuza weupe.
Jikubali
Siku tukakayokubali ukweli ndio siku tutakayoweka misingi yakujikomboa.Hadi leo tunalaumu wazungu kwenye mambo ambayo yanatokana na ujinga wetu.hiyo yote nikwasababu sisi ni dhaifu na hatutaki kukubali ili tujifunze kua imara.Sasa kukana ukweli bila kujua namna yakuurekebisha haina manufaa yoyote.
 
Kwa kweli nikisema najua, nitakuwa nadanganya.

Hatahivyo ninachojua, we are fighting(Resisting) for lack of a better word... kuna vitu tunafanya, mfano tunaunda Umoja kama vile AU....ni matokeo ya resistance. Our collective efforts.

Itoshe, kwa sasa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu za Kiuchumi. Watafilisika

Sababu nyingine, watashindwa kutawala kwa amani nchini mwao kwa sababu dunia ya sasa ni ya mchanganyiko wa watu, na hivyo wanaweza kupata upinzani wa ndani ambao utafanya jambo hilo kuwa counter intuitive(swahili kapuni hapo)

Ila basi, bado wanaendelea kufanya hivyo,(dominating) kupitia njia zingine kama za kiuchumi na kijamii.
Unazungumzia umoja ambao kuwaweka tu sawa wacongo miaka na miaka wameshindwa.Waafrika tunashindwa kuongozana wenyewe tunabaki kuuana kwakugombania madaraka na rasilimali ili tuzipeleke kwa wazungu kwa mlango wa nyuma tutaweza nini sisi.
 
Hii mada na wachangiaji wengi vinatia aibu hata kusoma!

Mmeshakua watu wazima sasa, tafuteni history ya bara lenu kabla ya Ukoloni. Itafuteni history ya mtu wa Afrika (Akebulan), mapambano yake na juhudi zake katika kuyaishi maisha yake!

Maajabu mtasema hizo history zenyewe zimeandikwa na hao hao wakoloni/wamishionari lakini kwa dunia tuliyopo sasa, huukosi ukweli japo kiduchu.

Tusome na kutafiti sana kutuhusu kwa faida na manufaa yetu na vizazi vyetu kwa maana huwezi kujua unapokwenda Kama hujui wapi umetoka, utaburuzwa tu.

View attachment 2900697
View attachment 2900698
View attachment 2900699
View attachment 2900700
View attachment 2900701
View attachment 2900702
View attachment 2900703

Picha ya tatu inasoma “village of Manyuema/Manyema.

View attachment 2900708

Angalia jinsi mji ulivyopangika. Hii ni kabla ya ujio wa wakoloni/wamishionari/wafanyabiashara za ndovu na binaadam/wasaka dhahabu.

Tulikariri Dar es salaam/Mzizima ni mji wa Wazaramo/Wakwere lakini ushahidi unasema wakazi wa kwanza / wenyeji wa mwanzo (sio waAsili) ni Wamanyema.

Ingia Google check Historum/African History/Africa before Colonization.
Hakuna sababu ya kua na historia ambayo haitubadilishi kurudi kua bora zaidi toka uko nyuma wakati wa hiyo historia.
 
Back
Top Bottom