Hii mada na wachangiaji wengi vinatia aibu hata kusoma!
Mmeshakua watu wazima sasa, tafuteni history ya bara lenu kabla ya Ukoloni. Itafuteni history ya mtu wa Afrika (Akebulan), mapambano yake na juhudi zake katika kuyaishi maisha yake!
Maajabu mtasema hizo history zenyewe zimeandikwa na hao hao wakoloni/wamishionari lakini kwa dunia tuliyopo sasa, huukosi ukweli japo kiduchu.
Tusome na kutafiti sana kutuhusu kwa faida na manufaa yetu na vizazi vyetu kwa maana huwezi kujua unapokwenda Kama hujui wapi umetoka, utaburuzwa tu.
View attachment 2900697
View attachment 2900698
View attachment 2900699
View attachment 2900700
View attachment 2900701
View attachment 2900702
View attachment 2900703
Picha ya tatu inasoma “village of Manyuema/Manyema.
View attachment 2900708
Angalia jinsi mji ulivyopangika. Hii ni kabla ya ujio wa wakoloni/wamishionari/wafanyabiashara za ndovu na binaadam/wasaka dhahabu.
Tulikariri Dar es salaam/Mzizima ni mji wa Wazaramo/Wakwere lakini ushahidi unasema wakazi wa kwanza / wenyeji wa mwanzo (sio waAsili) ni Wamanyema.
Ingia Google check Historum/African History/Africa before Colonization.