Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu walifanya Utu tu wa Kibinadamu wa kutuacha tujitawale.Hivi mkuu wakoloni wote waliotutawala wakaamua kuwa leo hii kila mmoja arudi kutawala koloni lake Afrika tutawafanya nini?
Unakwepa uhalisia wakati ni reality wazungu wametuzidi.Una ji underestimate mkuu, acha upuuzi kuwatukuza weupe.
Jikubali
Hakuna namna ila tunasikitisha.Bahati mbaya sana tumegeukia uchumi wa fremu na bodaboda
HesabatiTugundue Nini sasa bila kuwakwepa wazungu.
Hakuna maendeleo nje ya kuwaiga wazungu
Ipi hio waafrika wepi haoHesabati
Upo uwezekano mkubwa sana.Hata hai wazungu wapo nyuma miaka elf tatu dhidi ya ulimwengu usioonekana.
Nafikiri suala la wazungu kutupatia uhuru lilikua na manufaa zaidi kwao kuliko kuendelea kututawala.Wazungu walifanya Utu tu wa Kibinadamu wa kutuacha tujitawale.
Wangependa hadi hii leo wangeendelea kututawala.
Mabadiliko yeyote yanapatikana kwa kusoma. Hata hivyo tuna changamoto ya mitaala bandia.Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma .
Teknolojia ya kamera na picha mgando Wazungu waliigundua miaka karibu mia 4 iliyopita , imeboreshwa na kuboreshwa zaidi na itazidi kuboreshwa lakini sisi kazi yetu ni kuanzisha vyuo vya kufundishana namna ya kutumia.
Ingini za magari/mitambo ziligundulika miaka mingi imepita sisi kazi yetu ni kufungua vyuo vya kufundishana namna ya kuzitumia au kubadilisha kifaa kilichokufa kwenye hiyo engine.
Sasa Waafrika tuwe na kalenda yetu ambayo itatupa mwongozo wa wapi tuanzie.
Leo hii kuna vyuo vya kufundishana namna ya kutengeneza ingini za ndege, kiuhalisia sio kutengeneza bali ni kufanya service na kubadilisha vifaa vidogo vidogo.
Sasa ni vurugu mechi , tumepokea mambo ya Karne ya 21 ambayo kwa uhalisia sisi tuko huko Karne ya 15-16.
Tena utu wa kinafki coz waliona kuendesha makoloni hailipi so wakageukia ukoloni wa remote control.Leo hii anayeweza kupambana na waliokua wakoloni wake ni mmarekani tu ila sisi wengine hatuna jeuri.Wazungu walifanya Utu tu wa Kibinadamu wa kutuacha tujitawale.
Wangependa hadi hii leo wangeendelea kututawala.
Wazungu tumewafundisha mbinu za Kivita.Vita za misituni.... Camouflage.
Wao walikuwa wanakimbizana tu na kukatana mapanga bila mipangilio.
Walivyotokea kwetu ndio walijua hawajui.
Kwa kweli nikisema najua, nitakuwa nadanganya.Hivi mkuu wakoloni wote waliotutawala wakaamua kuwa leo hii kila mmoja arudi kutawala koloni lake Afrika tutawafanya nini?
Ni kweli kabisa tupo nyuma sana na wazungu.Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma .
Teknolojia ya kamera na picha mgando Wazungu waliigundua miaka karibu mia 4 iliyopita , imeboreshwa na kuboreshwa zaidi na itazidi kuboreshwa lakini sisi kazi yetu ni kuanzisha vyuo vya kufundishana namna ya kutumia.
Ingini za magari/mitambo ziligundulika miaka mingi imepita sisi kazi yetu ni kufungua vyuo vya kufundishana namna ya kuzitumia au kubadilisha kifaa kilichokufa kwenye hiyo engine.
Sasa Waafrika tuwe na kalenda yetu ambayo itatupa mwongozo wa wapi tuanzie.
Leo hii kuna vyuo vya kufundishana namna ya kutengeneza ingini za ndege, kiuhalisia sio kutengeneza bali ni kufanya service na kubadilisha vifaa vidogo vidogo.
Sasa ni vurugu mechi , tumepokea mambo ya Karne ya 21 ambayo kwa uhalisia sisi tuko huko Karne ya 15-16.
Ha ha. Unaweza kutumia JF na A za Darasani.Hadi leo Umeme na Maji tu ya Uhakika katika mji Mkuu wa biashara Daresalam ni kwamba tumeshindwa.
Tunaweza nini sasa zaidi ya kupata A za mchongo darani ?
Na kuvaa suti
Kwa lipi I feel Good. Be honest.Ni kweli kabisa tupo nyuma sana na wazungu.
Salamu tutazikuta kwa mtendaji wa KataHii naileta bila salamu!
Nafikiri neno ulilokuwa ukilitafuta ni "tumehujumiwa"Stage nyingi sana za maendeleo tumerushwa hivyo ngumusana kufika panapotakiwa