Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma .
Teknolojia ya kamera na picha mgando Wazungu waliigundua miaka karibu mia 4 iliyopita , imeboreshwa na kuboreshwa zaidi na itazidi kuboreshwa lakini sisi kazi yetu ni kuanzisha vyuo vya kufundishana namna ya kutumia.
Ingini za magari/mitambo ziligundulika miaka mingi imepita sisi kazi yetu ni kufungua vyuo vya kufundishana namna ya kuzitumia au kubadilisha kifaa kilichokufa kwenye hiyo engine.
Sasa Waafrika tuwe na kalenda yetu ambayo itatupa mwongozo wa wapi tuanzie.
Leo hii kuna vyuo vya kufundishana namna ya kutengeneza ingini za ndege, kiuhalisia sio kutengeneza bali ni kufanya service na kubadilisha vifaa vidogo vidogo.
Sasa ni vurugu mechi , tumepokea mambo ya Karne ya 21 ambayo kwa uhalisia sisi tuko huko Karne ya 15-16.
kama ni kalenda basi afrika kalenda yetu inabidi ianzie miaka ya 60 sio hiyo miaka 300 uko nyuma. miaka 300 nyuma mtu mweusi alikuwa bidhaa akiuzwa sokoni kama unavyonunua nyanya leo.

nchi nyingi za afrika zilipata uhuru wa bendera miaka iyo ya 1960. kipindi icho jamii nyingi ziliishi maporini ndomaana nyerere alifukuza watu waende mijini na karibu na barabara kuu ndo vijiji na hii miji ya leo vikazaliwa.

sisi sio wavumbuzi ndomaana hata leo vile vijiti vya kuchokonolea meno tunaletewa kutoka nje ya nchi. we mwenyewe apo ulipo jikague kuanzia chupi adi mavazi mengne uliyovaa utakuta vyote ni vya nje ya afrika kwa asilimia mia.

waafrika tunachoweza ni mambo ya sanaa yani kuimbaimba, kunengua, ngoma, sarakasi, ulozi, fitina, majungu, kupiga blaabla.

kiasili mwafrika ni kiumbe wa kula bata(starehe) na mitelezo tu hapendi kazi ndomaana hata leo ukienda kwa jamii zinazokaa maporini kama wale wahazabe utakuta ratiba zao ni kwenda kusaka wanyama maporini na kurudi hom kucheza ngoma na kupiga stori. ulaya na marekani weusi ndo mastaa kwenye miziki na burudani kwa ujumla wake. hao ndo sisi.
 
Hivi mkuu wakoloni wote waliotutawala wakaamua kuwa leo hii kila mmoja arudi kutawala koloni lake Afrika tutawafanya nini?
Hakika mkuu naamini na nakubaliana na wewe wakoloni wakisema wanarudi kutawala makoloni yao hakuna kitu tutafanya, yaani zaidi zaidi tutapiga makelele mitandaoni tu lakini hakuna kitu tutafanya
 
Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma .
Teknolojia ya kamera na picha mgando Wazungu waliigundua miaka karibu mia 4 iliyopita , imeboreshwa na kuboreshwa zaidi na itazidi kuboreshwa lakini sisi kazi yetu ni kuanzisha vyuo vya kufundishana namna ya kutumia.
Ingini za magari/mitambo ziligundulika miaka mingi imepita sisi kazi yetu ni kufungua vyuo vya kufundishana namna ya kuzitumia au kubadilisha kifaa kilichokufa kwenye hiyo engine.
Sasa Waafrika tuwe na kalenda yetu ambayo itatupa mwongozo wa wapi tuanzie.
Leo hii kuna vyuo vya kufundishana namna ya kutengeneza ingini za ndege, kiuhalisia sio kutengeneza bali ni kufanya service na kubadilisha vifaa vidogo vidogo.
Sasa ni vurugu mechi , tumepokea mambo ya Karne ya 21 ambayo kwa uhalisia sisi tuko huko Karne ya 15-16.
Huwa najiuliza sana kuhusu kutangulia kuja duniani kati yetu sisi weusi na wazungu. Je, alitangulia mzungu kuja kwenye uso wa dunia au tulikuja kwa wakati mmoja?!

Kama walitutangulia kuja duniani, hapo hatuwezi kushangaa wao kutuzidi kwa namna yoyote. Hii inatokana na ukweli kuwa, wao wana uzoefu (experience) kutuzidi sisi weusi.

Ikiwa tulikuja duniani kwa wakati mmoja, lakini wenzetu wakapaa na kutuacha sisi chini, hapo tunanakiwa kuhoji ni kwa nini imefikia hatua hiyo!

Lakini wakati mwingine najiridhirisha kwa kusema kuwa, wazungu wana vinasaba vyenye viwango vya juu vya uwezo wa kufikiri (IQ) kutushinda sisi weusi. Kama utabisha hili, jiulize hivi; kama tulikuja wote kwa wakati mmoja, kwanini wenzetu wafikie huko halafu sisi tunang'aang'aa macho tu?!

Kwa mtazamo wangu, naona improvement ya akili yetu ni ya kiwango cha chini sana. Improvement yetu kama ingelinganishwa na mwendokasi, basi mwendokasi wetu ni 0.000000000000000000 km/h.

Wazungu kuwa mbele yetu kiakili, kunadhihirishwa hata wakati wa utumwa. Mzungu mmoja anaamrisha watu weusi kibao wambebe na wanambeba mpaka mwisho wa safari; hawakuweza kufikiri kuwa wangeweza kumbwaga chini na kumwangushia kichapo, kwakuwa wao weusi wako wengi!

Hivyo, tunayoyaona leo kuhusu maendeleo, tusishangae, huenda tuliumbwa kwa tofauti ya maarifa (akili) kati ya wazungu na sisi weusi!
 
Hakuna sababu ya kua na historia ambayo haitubadilishi kurudi kua bora zaidi toka uko nyuma wakati wa hiyo historia.

Na hilo ndilo kosa lenu (wewe na wenye fikra Kama zako)!

Huwezi kujua unakoenda Kama hujui ni wapi umetoka.

Kwamba unategemea kuwa bora zaidi ya huko nyuma wakati hata huko nyuma kwenyewe hujui ulikua bora kiasi gani?! Na hata hujui hiyo nyuma ni ipi?!

Kujitambua na kuyatambua mazingira yako na wapi ulitoka ndilo jukumu la kwanza kwa binaadam yeyote na ndio hasa engine inayoendesha dunia ya science na uvumbuzi.

Wacha maneno mengi na lawama zisizo kichwa wala miguu, tafiti mizizi yako kuiandaa kesho yako!
 
Mapinduzi ya engine ulifanywa na wanasayansi wa kizungu huko ulaya wakati waganga wa jadi wakizindua ungo wa kusafiria kutoka Sumbawanga kwenda Simiyu
 
Hakika mkuu naamini na nakubaliana na wewe wakoloni wakisema wanarudi kutawala makoloni yao hakuna kitu tutafanya, yaani zaidi zaidi tutapiga makelele mitandaoni tu lakini hakuna kitu tutafanya
Inasikitisha ila ndo kweli mkuu!
 
Wazungu karibu mambo mengi wamejifunza Africa na kuyafanyia maboresho hayo mambo huko kwao. Africa kama sio kuletea hizi Dini hakika hakuna bara duniani lingaliwahi kulifikia kiuchumi..

Rejelea ustaarabu wa jamii za kale za wamisri hapo kuna mambo mengi yalikuwako huko

Adui wa kwanza afrika ni Dini
 
Bahati mbaya sana tumegeukia uchumi wa fremu na bodaboda
Ukweli mchungu, kwa uchumi wa kumiliki fremu na bodaboda eti tunataka kushindana na hawa jamaa? Yaani mtanzania akishaweza kununua nguo china/uturuki, akazileta mjini akauza balas uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo.

Hawa jamaa wana uwezo wa kututawala wakihitaji..
 
Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma .
Teknolojia ya kamera na picha mgando Wazungu waliigundua miaka karibu mia 4 iliyopita , imeboreshwa na kuboreshwa zaidi na itazidi kuboreshwa lakini sisi kazi yetu ni kuanzisha vyuo vya kufundishana namna ya kutumia.
Ingini za magari/mitambo ziligundulika miaka mingi imepita sisi kazi yetu ni kufungua vyuo vya kufundishana namna ya kuzitumia au kubadilisha kifaa kilichokufa kwenye hiyo engine.
Sasa Waafrika tuwe na kalenda yetu ambayo itatupa mwongozo wa wapi tuanzie.
Leo hii kuna vyuo vya kufundishana namna ya kutengeneza ingini za ndege, kiuhalisia sio kutengeneza bali ni kufanya service na kubadilisha vifaa vidogo vidogo.
Sasa ni vurugu mechi , tumepokea mambo ya Karne ya 21 ambayo kwa uhalisia sisi tuko huko Karne ya 15-16.
Wenzako watakuja na KALENDA ya majina ya watu, Shanbani, hijiria, athumani, 😄😄😄
 
Wazungu walifanya Utu tu wa Kibinadamu wa kutuacha tujitawale.
Wangependa hadi hii leo wangeendelea kututawala.
Wasingeweza Keeping an empire ilikuwa gharama kubwa sana kwao na mapinduzi yalivyoanza fulani kafanya na fulani kafanya wengine walijaribu hivyo security yao ilipungua...

Industrial Revolution kulikuwa hakuna sababu tena ya kuchukua watumwa...; lakini ukoloni wa zamani ulibadilika na kuwa ukoloni mamboleo ambapo tuliendelea kuwa marginalized...

Lakini sasa wala hawahitaji kutumia nguvu ni viongozi / walamba asali wachache wakipewa viji-bakshishi wanauza /wanagawa mpaka mabaki; In short mentally tunatawaliwa kutokana na Upuuzi wa watawala wetu
 
Tupo nyuma ya Mzungu sio miaka 300 (mia tatu), bali ni miaka 3,000 (elfu tatu)

Waafrika bado wapo katika hatua ya Binadamu ya Homo habilis wakati Wazungu wamefikia hatua ya Binadamu ya Homosapien (Binadamu mwenye busara na aliye staarabika)

Usiangalie hali ya mwili, angalia matendo yetu.
Tatizo Mzungu alikuja na kuturusha tuonekane kama wao kwa mtizamo.
Kwa kutupatia mavazi, na Elimu haraka haraka bila kwenda kwa hatua hatua.

Bila kuja Mzungu tungefanana na wale Wahadzebe wanao ishi mapangoni porini hadi hii Leo.

We angalia Mwarabu alikuja na Gobole moja tu, na ni juzijuzi tu akatufanya Watumwa wake na kututawala kimwili na kiakili.
Huyu Mwarabu wa Omani aliyekuja na Jahazi la Upepo.
Akaitawala Zanzibar Hadi Mwaka 1967, ni Jana tu.
Hakika.
 
Back
Top Bottom