Nakuunga mkono kabisa. Kilimo tupo duni. Afya tupo duni. Maendeleo a kisayansi tupo duni. MKuna kitu nimekitafakari saana kwanini sisi africa hatuna maendeleo?...
Dawa lete Mdhunguuu πNakuunga mkono kabisa.Kilimo tupo duni.Afya tupo duni.maendeleo a kisayansi tupo duni. M
Tanzania tunaongozwa hata na wagonjwa wa akiliKuna kitu nimekitafakari saana kwanini sisi africa hatuna maendeleo?
Nikaja kutambuwa kuwa viongozi wetu wengi wa africa hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu ndo maana tupo nyuma kwa kila kitu..
Mkuu upo wapi nikutumie jero unywe soda tu..Tatizo kubwa la sisi waafrika ni kuruka stage kwenye zile hatua za maendeleo ya binadamu:
1. Primitive communalism...
Mawazo gani haya? Mtafute mzungu basi umpe familia yako kwanza.πππKuna kitu nimekitafakari saana kwanini sisi africa hatuna maendeleo?
Nikaja kutambuwa kuwa viongozi wetu wengi wa africa hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu ndo maana tupo nyuma kwa kila kitu...
Post yenye maumivu. Lkn ndio ukweli wenyewe [emoji22]Tatizo kubwa la sisi waafrika ni kuruka stage kwenye zile hatua za maendeleo ya binadamu:
1. Primitive communalism
2. Slavery
3. Feudalism
4. Capitalism
5. Socialism
Kihistoria, jamii zilipohama kutoka stage moja kwenda nyingine, walikua wamekomaa KIAKILI kuona umuhimu wa hayo mabadiliko!
Sisi tulirushwa kutoka hatua ya kwanza mpaka ya 5, huku baadhi ya nchi zikirukia ya 4. Matokeo yake akili zetu bado zipo kati ya hatua ya 2 na ya 3. Viongozi wetu wanachowaza ni "accumulation of wealth" (feudalism) na kuwanyonya wengine kwa manufaa binafsi (slavery).
Ata kugegedana na kuroga tupo duni piaπ€£π€£π€£π€£Nakuunga mkono kabisa. Kilimo tupo duni. Afya tupo duni. Maendeleo a kisayansi tupo duni. M
Kiuhalisia Afrika bado inatawaliwa na wazungu β.Kuna kitu nimekitafakari saana kwanini sisi africa hatuna maendeleo?...
Ungekuwa weye ndiyo kiongozi ungeupokea ushauri wako wa kijinga?Kuna kitu nimekitafakari saana kwanini sisi africa hatuna maendeleo?
Nikaja kutambuwa kuwa viongozi wetu wengi wa africa hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu ndo maana tupo nyuma kwa kila kitu
Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi
Kwa hiyo palipo na ukweli lazima pasemwe Africa tuwape tena wazungu inchi zetu watuongoze kwa mara ya pili ili tupate akili vizuri maana inaonekana tuliomba uhuru uku bado vichwani mwetu hatuna ufahamu
Sisi Kongo 2023 tunaanza na Moise Katumbi
Hivi ninyi watu,leo mmelogwa? Mawazo gani sasa hayo?πππNjia sahihi wananchi tungekuwa na uwezo wa maamuzi ni sahihi kama tungeajiri management ya kutuongoza toka nje yaani...
Mfumo uliopo SAsa ni miaka 60 SAsa hakuna positive changes, umeshindwa kutuvusha,hauzalishi viongozi wabunifu, kama tunashindwa kutatua changamoto zetu kwa kutumia raslimali tele kwann tusibadili aina ya mfumo wa uongozi.Hivi ninyi watu,leo mmelogwa?Mawazo gani sasa hayo?πππ