Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Turn the society into a Christian society but failed hii ndio point.Mbona nchi zote ulizo zitaja kuna wakristo na waisilamu japo kuwa wananyanyapaliwa?
Afrika imegawanyika Ukristo na Uislam. Mfano TanzaniaHiyo singapore mbona kuna uislam ikiwa ukristo ni kidogo? Tuje afrika, ni nchi gani ina wakristo wengi walau asilimia mia moja?. Afrika kuna nchi zina idadi kubwa ya waislam kama hapo zanzibar ukiacha nchi za kiarabu zilizoko afrika, je ndio kusema uislam ulifanikiwa sana kumeza tamaduni za waafrika kuliko ukristo?
Hakuna vitu vya kijinga duniani kama hizi dini 2 uislam na ukristoMbona nchi zote ulizo zitaja kuna wakristo na waisilamu japo kuwa wananyanyapaliwa?
Kusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.
Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.
View attachment 2834832
Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu inachagizwa na weak civilization au vitu vingine?
Hizi Abrahamic religions (dini za Kikristu na Uislam) ni adui wa maendeleo kwa Waafrika na ni laana kwetu.Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.
Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.
View attachment 2834832
Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu inachagizwa na weak civilization au vitu vingine?
unataka kusema kabla ya ujio wa dini hizo mbili, dini za kienyeji zilizokuwepo zilikuwa sahihi au ni abrakadabra tu? Kama hujui waafrika waliendelea kuabudu dini zao za asili mpaka sasa wanaziabudu na ni double standard. Je zinawasaidia nini kama si kuendeleza mambo ya kipuuzi?Hakuna vitu vya kijinga duniani kama hizi dini 2 uislam na ukristo
unajumuisha nini? Hilo jiwe tupia kwa waislam, wakristo wanafundishwa upendo kwa watu wote na kuwa na amaniWaafrika tumekuwa watumwa wa dini za kuletewa. Kutwa kuzozana dini ipi ni nzuri na ipi ya kweli.
Dini ya kweli ni utu. Ukiwa na utu, mwenye kusaidia fukara, yatima, wajane na wenye uhitaji na ukaishi maisha yako inatosha. Hata ukikutana na Mungu wa waislamu au wakristo siku ya hukumu (kama kweli ipo) unacho cha kujitetea.
Sio huu ubabaishaji wa kumkiri Yesu au Mtume kisha unaua wenzako na kushabikia mauaji ya wengine kwa jina la dini.
sasa hapa unaingiza siasa za diniKusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.
Uliokuja na Ukoloni version nyengine ya Ukristo kama Ukatoliki, Anglikana etc.
Kuhusu uisilamu na role ya maendeleo, nimeongea sana humu, uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.
Na hii ipo consistent Nchi zote za kiisilamu, hata ukienda Asia ya mashariki Sehemu kama Malaysia, Brunei, Indonesia Wana Uchumi stable na wamefanikiwa kiasi kikubwa kuondoa umasikini compare na wenzao kama Laos, Burma, Cambodia na Ufilipino.
Vipi kuhusu Sudan kusini na Somalia?uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.
ungebaki na dini yako ya asili usingeenda shule na kuwa na maendeleo yaliyoletwa na dini hizo za abrahamic, hiyo ndiyo system ya dunia lazima uikubali utake usitakeHizi Abrahamic religions (dini za Kikristu na Uislam) ni adui wa maendeleo kwa Waafrika na ni laana kwetu.
Hapa hauzungumziwi uchumi umesikiliza kwa makini ?Kusahihisha tu Uisilamu Wala ukristo haujaja na wakoloni. Ukristo upo hata hao Wazungu hawajaja huku, na uisilamu pia vile vile upo hata kabla waoman hawajaja Ukanda wetu.
Uliokuja na Ukoloni version nyengine ya Ukristo kama Ukatoliki, Anglikana etc.
Kuhusu uisilamu na role ya maendeleo, nimeongea sana humu, uisilamu unasaidia sana kupunguza income inequality na kuhakikisha keki ya Taifa Kila mwananchi anaifaidi. Mfano mzuri angalia tu Nchi za kiarabu na kusini mwa jangwa la Sahara, Nchi kama Angola inazalisha mafuta mengi kuliko baadhi ya Nchi za kiarabu ila ukiangalia Uchumi wa Nchi na pato la mtu mmoja mmoja vs hao waarabu utofauti ni mbingu na Ardhi.
Na hii ipo consistent Nchi zote za kiisilamu, hata ukienda Asia ya mashariki Sehemu kama Malaysia, Brunei, Indonesia Wana Uchumi stable na wamefanikiwa kiasi kikubwa kuondoa umasikini compare na wenzao kama Laos, Burma, Cambodia na Ufilipino.
South Sudan sio waisilamu, pia Nchi yoyote yenye vita usitegemee mfumo wowote kufanya kazi.Vipi kuhusu Sudan kusini na Somalia?
Hakuna vitu vya kijinga duniani kama hizi dini 2 uislam na ukristo
Takbiir.Waafrika tumekuwa watumwa wa dini za kuletewa. Kutwa kuzozana dini ipi ni nzuri na ipi ya kweli.