Hili ni kanisa st Mary Zion la Aksum Empire, Kanisa la pili kwa Umri Africa na la kwanza Kusini mwa jangwa la Sahara
View attachment 2841304
Achana na Kanisa Angalia Technology iliotumika kujengea, that's how Advanced Aksum was, Leo hii Nina uhakika Tanzania Eneo kubwa la Nchi hawana uwezo wa Kujenga kitu kama Hicho, halafu utaona watu wanajiona wajanja kweli, na kudhihaki mababu zao na kuwaona wapuuzi na wao wajanja sababu Tu ana kisimu anaweza kuangalia YouTube anajiona na yeye ni Mdogo wake Biden.
kweli bro,,,,ata yale mapiramid ya misri,,hakuna engineer yoyote hapa AFRIKA ya leo anayeweza kujenga,,,kumbuka kipindi kile kulikuwa hamna mawinchi wala maeskaveta,,sasa jiulize walijengaje,,,,? inasemekana walishirikiana na viumbe flani{sina uhakika},,alafu,,wazungu wanajaribu kila njia kufuta ukweli mwingi sana kuhusu maendeleo ya afrika,,,unajua mpaka leo hakuna tajiri anaemfikia jamaa aitwaje MANSA KANKAN MUSSA kiongozi wa GHANA EMPIRE enzi hizi??? unaambiwa jamaa alikuwa anamiliki dhahabu ambayo hakuna benki yoyote iinayomiliki dhahabu nyingi namna hiyo leo hii!!!!{lakini wazungu wanasema waafrika hamna ki2],unajua RUSSIA miaka elfu ya nyuma huko mkuu wao wa majeshi alikuwa mweusi???,alafu unajua YESU au nabii ISSA hakuwa mzungu{ila jamaa wanajaribu ktulazimisha ni mzungu}---hakuna nabii wala mtume ata mmoja aliyetoka kwa wazungu,,,hii picha ya mzungu YESU,,,ni picha ya mcheza sinema huko hollywood akiita michael dean{kama sikosei].....unajua waisrail wa kwanza hawakuwa wazungu???{sijui hawa wa sasa wamegeuka lini kuwa wazungu!!!!!!!!....nikimalizia swala mahsusi la kidini kwamba lililetwa na wazungu au la!!!Q'RAN TUKUFU inazungumzia kisa cha mfalme SULEIMAN namalkia wa KUSH{ETHIOPIA au SHEBA,,,kwa mfalme aliitisha mkutano wa wanyama,binadamu,majini na ndege {suleiman alikuwa anaongea na kila aina ya hayawani,,,sasa ktka mkutano huo akakosekana ndege HUDHUD ,mfalme kuuliza yuko wapi huyu hakupata jibu,,,lakini pindi kidogo hudhud akarudi,,,,mflme akamuuliza alikuwa wapi,,,ndege hud akajibu,,nilikuwa mbali huko kush,akaulizwa kulikoni huko?? akasema kuna malkia huko kafiri akiabudu masanamu!!!!!,,,,,basi malkia akapelekewa barua asilimu na akakariishwa huko kwa mfalme suleiman,,,,,,ok,,,ni kisa kirefu ,ila ebu waulize hao wavivu wa kusoma vitabu vitakatifu!!! je?? wakati wa mfalme suleiman kulikuwa na ukoloni???