Empire kubwa kabisa Africa miaka ya karibuni ambayo ilikuwa moja ya Empire 4 kubwa Duniani iliitwa Aksum, Maeneo ya Mashariki Africa, Ethiopia, Eritrea, Somalia ya sasa, Aksum ilikua ikipambana na Persia, Roma na China na walitawala hadi part ya Middle East Nchi kama Yemen, walikua na Haki ya Trade routes kuunganisha hadi Iran ya sasa. Hii ilikua ni Empire ya Kikristo, sio hawa Wakristo wa leo wa Magharibi ambao wapo wengi Africa bali Orthodox Christians.
Empire Tajiri na mtu Tajiri zaidi Africa iliitwa Mali Empire na Tajiri wake Mansa Musa ilikua ya kiisilamu, jamaa anatajwa kama mtu Tajiri zaidi kupata kutokea Duniani kwa historia ya karibuni. Mansa Musa alisababisha Inflation Egpty wakati anakwenda kuhiji mecca, alitoa Dhahabu zaidi ya Nusu Tani kwa Masikini, wasomi na Viongozi wa dini Egpty na kusababisha nchi nzima thamani ya Dhahabu kushuka.
So hizo Empire zilizofanya matambiko ni ndogo tu, I challenge you Nioneshe Empire ya Matambiko miaka 1000 iliopita ambayo ni kubwa kushinda Aksum ama Empire nyengine za Kiisilamu.