Waafrika Mmerogwa? Ardhi tukufu sio Makkah, Madina wala Yerusalemu

Waafrika Mmerogwa? Ardhi tukufu sio Makkah, Madina wala Yerusalemu

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Enyi watu weusi kataeni porojo za waarabu na wazungu. Nendeni mkahiji vijijini kwenu huko huko Chididimo, Nanjilinji, Kagongwa nk. Huko ndiko kuna baraka sio kwa waarabu wala wazungu.

Nenda kamsalimie babu yako, bibi, baba na mama yako, usisahau kuwapelekea zawadi za mjini kama una uwezo wanunulie hata trekta wakalime mashamba ya ukoo wewe.

Uzi tayari.
 
Labda kobazi ndio wamedata kwenda madina na maka, tena utakuta wengine wana kaelimu lakini ataenda maka kuhehuka huko eti anampiga sheitwaani mawe! Shetani ni wa kupigwa mawe kivile? Wajinga ndio waliwao, wanatunisha uchumi wa saudia kwa kwenda kutalii huko
 
Wale ni watalii wanaojiita mahujaji, ni sawa tu na yale majimama ya kizungu yanayokuja kufanya utalii wa ngono kwa kuja kushindiliwa mishedede ya kiafrika mikubwa kama hogo kuliko vibamia vya wazungu wenzao!
 
Waafrika tunadharau mambo yetu na kuiga ya wageni:

Ila kwakuwa wageni wanakuja kwetu kutalii basi sio mbaya nasi tukienda kwao kutalii:
Kumbuka Kuna utalii wa Ibada pia:
 
Back
Top Bottom