Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hahahaa, ni hatari sana.Hawata kuelewa wazee kuamini Manabii kuuza Maji na wazee wa Kobazi.
Naam hapo umenena.Liafrika linafunga safari kwenda kutalii saudi arabia likisema linaenda kuhiji, kukamilisha nguzo ya ukobazi, hii si ni kituko?! Unaacha ardhi yako takatifu unakimbilia ardhi ya waarabu, upumbavu mtupu
tukampge sheitwain mawe siyo?Waafrika tunadharau mambo yetu na kuiga ya wageni:
Ila kwakuwa wageni wanakuja kwetu kutalii basi sio mbaya nasi tukienda kwao kutalii:
Kumbuka Kuna utalii wa Ibada pia: