Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Akili za wabongo tunazifahamu wenyewe...

Tunapoelekea tuta tafuta sababu za kuwashabikia wajerumani na waingereza maana waliwatesa na kuwaua mababu zetu kwenye mashamba na tulivyouzwa kama watumwa enzi zile za ukoloni.
Wao hao wana shabikia timu ipi Africa, tuambie Wazungu ni mashabiki wa timu zipi za Africa, Inferility yetu ni ya kiwango cha kutisha sana
 
Moyo ukipenda hakuna mwana JF wa kukushauri vingine.Shabikia hata vichaa ukate kiu ya furaha yako.
 
Mimi ni shabiki wa Brazil miaka yote hasa kwenye kombe la Dunia
 
Mkuu lazima maisha yaendelee, utakuta hao walioua waafrika hawapo tena dunia I na Argentina sasahivi wanaishi vizuri tu na magiza
 
Laiti ile meme ya crystal palace inavyotrend juu ya yule mweupe mmoja kweny first eleven wakimaanisha kama gangbang kweny porn ,sasa yule angekuwa ni mwafrika nadhani tungeandamana.

Tuache inferiority complex then tufanye yesu...hakuna mtu anakubagua unajishtukia tu
 
Sasa si ushabikie Saudi Arabia yako au Qatar zilizojaa weusi wenzio!
 
Wapuuzi sanaaa Germany wenyee wamemchukuwa rodiger mweusi Ila bado sina nao mzuka

Argentina aondoshwe haraka Sana
 
Ukiwachunguza kwa umakini, hao mashabiki wenyewe ndiyo wale aina ya genta. Yaani ni mapopoma, na mabumunda yasiyo na uelewa wowote ule kuhusu historia.
 
Suala ushabiki wa timu au kitu chochote utokana na wewe umeshawishiwa na nini, wengine ufuata rangi au udini wengine wachezaji , wengine historia nakadhalika. Pia tambua starehe ya mtu wazimu wake.
 
Mpira unaondoa Siasa za aina yeyote na FIFA imejitahidi kutengeneza muungano kupitia mpira hata Timu zenye uhasama huwa zinapangwa kundi moja USA,Iran au South Korea na North Korea,Serbia watapigwa fine kwa kuitumia bendera ya Kosovo kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo nyi mnaojiita black movement mnachochea sana Ubaguzi ni vile hamjui watu wangapi walipigania kufuta haya mambo kila kukicha mnata watu fulani wabagulie kataa ubaguzi wa aina yeyote mkishawabagua hao mtaanza kubaguana wenyewe...mbona watu weusi tuu hapa tunabaguana mbaya kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…