Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Sasa kwann nishindwe kuwashangilia Argentina tena watu weupe pee, Actually sisi waafrika wenyewe hatuipendi color yetu na ukitaka kuthibitisha Hilo basi Cheka Sasa wake kwa waume wanavyojichubua.. So far sijao Ila nikitaka kuoa siwezi kumuoa Mwanamke mweusi na Wala sio dhambi Ila ni preference zangu tu.
Hzo mbo za racialism peleka hukooooooo
 
Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.

Waafrika tuache upuuzi.
Hili lijinga sana! Kwann umeizungumzia israel na wakristo au wew ni mfuasi wa wafilisti?

Kama ni ngozi nyeusi kujitenga na ngozi nyeupe na iwe hvyo syo unazungumzia upande mmoja.

Mbona nyiny mnawashobokea waarabu halaf mnaishia kupigwa miti[emoji16][emoji16] tena tigo[emoji23][emoji23]
 
Israel haihusiki kwenye hayo mambo

Unaifahamu mission yao kuwaokoa waisrael weusi waethiopia wakati ya vita mkuu??

[emoji1541][emoji1541]

Now wanawapa dawa ili wasizaliane pale israel. Unawafanyiaje binadamu wenzako namna hiyo..... Nao wabaguzi tu Kwanza Meli zao ndio zilihusika kubeba watumwa kupeleka huko Ulaya na America...... So ni WAHUNi kama wahuni wengine tu WA kizungu
 
Umesahau waafrika waliuzana wenyewe kwa wenyewe kwa jamii zenye nguvu kuvamia wenzao na kuwauza wafungwa

Umesahau mobutu kushirikiana na wazungu kumuua lumumba ili atawale mpaka leo congo hakukaliki?
 
Wa
Na ndio maana litaifa stars halifiki popote, tukiendekeza chuki na ubaguzi hatufiki popote,

Mfano tu MOROCCO, jana ameshinda lakini kuna waafrika wasiojielewa ambao hawakupenda MOROCCO ashinde,

Argentina mbele kwa mbele
Morocco mbele kwa mbele
Haijalishi

Kipigo ni kipigo tu wapigwe

Kama wewe sio mbaguzi basi shangilia timu zote 32!
 
Ndio maana watu Bongo wanajiua aisee.

Mana ukisema uje huku nako pagumu
 
Usipende kulazimisha watu kuamini unachokiamini. Man, ishi maisha yako and endelea kuamini unachokiamini don’t ruin other pals happiness.

#messi #Argentina

Ushabiki ni kuharibu party za watu mkuu

Ndo maana kuna timu mbili na kila mtu anataka ashinde sasa wewe unavosema uachwe kuambiwa ukweli unakosea mkuu

Ajentina ni kikundi tu cha wahuni

Wapigwe tu
 
Nijuavyo, mpira ni miongoni mwa michezo inayotuunganisha pasi tofauti tulizonazo!
 
Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.

Waafrika tuache upuuzi.
Wewe ni mbaguzi unayejificha kwenye kichaka cha weusi kubaguliwa/kuuliwa huko Argentina. Mbona huko kwenu waafrika wenzako wanawaua waafrika wenzao kila siku na husemi lolote!?
Kwenye soka huwa tunaweka tofauti zetu pembeni tunazungumza soka tu.
"Viva Argentina, Viva LaPulga"
 
Linapofika suala la soka mambo mengine mengi yanakaa pemben! Binafsi naishanikia Argentina sababu ya Lionel Messi.
Kama mimi, natamani Argentina wachukue mzigo sababu ya La Pulga, mwamba amechuku kila kitu alichopaswa kuchukua isipokuwa World Cup, Mungu amfanyie wepesi.
 
Wa

Haijalishi

Kipigo ni kipigo tu wapigwe

Kama wewe sio mbaguzi basi shangilia timu zote 32!

Nakuona ukiumia na kuteseka, pole mzee baba

Ushabiki ni kuharibu party za watu mkuu

Ndo maana kuna timu mbili na kila mtu anataka ashinde sasa wewe unavosema uachwe kuambiwa ukweli unakosea mkuu

Ajentina ni kikundi tu cha wahuni

Wapigwe tu

Nakuonea huruma sana, usijepata heart attack kwa wenye mpira wao, wale jamaa wamebarikiwa, wana kipaji cha mpira, unadhani. Kwahiyo usitusumbue
Kama mimi, natamani Argentina wachukue mzigo sababu ya La Pulga, mwamba amechuku kila kitu alichopaswa kuchukua isipokuwa World Cup, Mungu amfanyie wepesi.
Amiina, yani mimi ni shabiki wa albiceleste kabla hata ya king Leo, the best player everrrrr
 
Kweni Watu weusi walienda Argentina kwa hiyari yao si walipelekwa wakati wa Biashara ya Utumwa?!
 
Kwa hiyo tushabikie mpira kwa kufuata historia? Mfano Uganda ingekuwa world cup sisi watanzania hatukutakiwa kui support kisa Idd Amin alipigana na sisi akawaua baadhi ya ndugu zetu Kagera?. Kama haya ndiyo mawazo ya watanzania wengi CCM itatawala dahari
Well said

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya Kusini iliowafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrika kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.

Waafrika tuache upuuzi.
Ndug mwandishi ubaguzi upo wapi Gonzalo Higuin alikuwa mweupe kingne Kama unajua Messi aliwahi kuwaambiwa achezee timu ya Taifa ya Spain alikataa na pia kusema kuwa kwenye passport mama mnigeria baba mcameroon mtoto mfaransa kwani walikosea au kusema ukweli ndo unageuka ubaguzi??¿?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom