Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

Kwahiyo wewe kila mwafrika ni ndugu yako! Potea njia nenda marekani halafu leta shobo kwa black americans kwamba ni ndugu zako ndo utajua hujui au huko mbali zamia roli shukia Durban halafu watafute wazuru kwa kuamini ni ndugu zako utakiona cha mtema kuni. Nilikuwaga muumini wa huu uzalendo wa kimasikini hadi niliposoma historia nikaona Wanyarwanda waliwahi kuuana kisa urefu wa pua zao.
 
Kwenye zile timu, kuna utakayoishangilia kweli kama sababu ni hii ..?? Maana wote wabaguzi tu..!!
 
Timu ya taifa ya Israel ina-waafrika ni tofauti na Argentina
 

Wewe shabikia brazili yako, kwa walima miwa, na uasherati kama wote. Wengine tuache tuwashabikie wanaume wanaojitambua like Argentina,


Hivi ni wivu ndio umekufanya uanzishe mada hii?

Wewe na timu lako la taifa stars lina mtu mweupe hata mmoja?
 

Huyu mleta mada ana lake jambo, kama sio shabiki wa Portugal basi ni brazili kwa walima miwa huko na wengi wao watenda dhambi na uasherati kama wote.

Argentina mojaaaaaa, Mungu ibariki Argentina
 
Usijitoe ufahamu
 
Hebu tuacheni kidogo hatujamaliza mambo ya rainbow mnaanza mengine? makosa kafanya babu watoto wanakosa gani. Hakuna siasa kwenye mpira wacha watu wafurahie game tukianza kufukua makaburi hata sisi sio wasafi. enjoy football
 
U

Urugwai ya Suarez mijino ni ndugu zao hawa waajentina

Wapigwe tu

Na ndio maana litaifa stars halifiki popote, tukiendekeza chuki na ubaguzi hatufiki popote,

Mfano tu MOROCCO, jana ameshinda lakini kuna waafrika wasiojielewa ambao hawakupenda MOROCCO ashinde,

Argentina mbele kwa mbele
Morocco mbele kwa mbele
 
Hebu tuacheni kidogo hatujamaliza mambo ya rainbow mnaanza mengine? makosa kafanya babu watoto wanakosa gani. Hakuna siasa kwenye mpira wacha watu wafurahie game tukianza kufukua makaburi hata sisi sio wasafi. enjoy football

Good point,
 
Kw
Kwa uzi huu tu wewe ni mbaguzi tayari. Acha watu wa enjoy football.
 
Ml
Mleta mada usiturejeshe ujimani. Hizo sentiments za ubaguzi peleka huko.
 
Kwenye soccer tusipangiane timu ya kushabikia tafadhali.
 
We ni mjinga nitatizo la nchi yako kwani umenyimwa kuita wazungu kwenye michezo

Wewe kama sio shabiki wa England, basi ni Portugal au brazil kwa walima miwa na uasherati kama wote. Kwanza kushabikia brazil ni aibu mno, mwanaume mzima unashabikia hilo timu 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…