Hili lijinga sana! Kwann umeizungumzia israel na wakristo au wew ni mfuasi wa wafilisti?Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.
Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.
Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.
Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.
Waafrika tuache upuuzi.
Now wanawapa dawa ili wasizaliane pale israel. Unawafanyiaje binadamu wenzako namna hiyo..... Nao wabaguzi tu Kwanza Meli zao ndio zilihusika kubeba watumwa kupeleka huko Ulaya na America...... So ni WAHUNi kama wahuni wengine tu WA kizunguIsrael haihusiki kwenye hayo mambo
Unaifahamu mission yao kuwaokoa waisrael weusi waethiopia wakati ya vita mkuu??
[emoji1541][emoji1541]
Now wanawapa dawa ili wasizaliane pale israel. Unawafanyiaje binadamu wenzako namna hiyo..... Nao wabaguzi tu Kwanza Meli zao ndio zilihusika kubeba watumwa kupeleka huko Ulaya na America...... So ni WAHUNi kama wahuni wengine tu WA kizungu
Ha haa!
HaijalishiNa ndio maana litaifa stars halifiki popote, tukiendekeza chuki na ubaguzi hatufiki popote,
Mfano tu MOROCCO, jana ameshinda lakini kuna waafrika wasiojielewa ambao hawakupenda MOROCCO ashinde,
Argentina mbele kwa mbele
Morocco mbele kwa mbele
Usipende kulazimisha watu kuamini unachokiamini. Man, ishi maisha yako and endelea kuamini unachokiamini don’t ruin other pals happiness.
#messi #Argentina
Ndio maana watu Bongo wanajiua aisee.
Mana ukisema uje huku nako pagumu
Wewe ni mbaguzi unayejificha kwenye kichaka cha weusi kubaguliwa/kuuliwa huko Argentina. Mbona huko kwenu waafrika wenzako wanawaua waafrika wenzao kila siku na husemi lolote!?Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.
Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.
Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.
Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.
Waafrika tuache upuuzi.
Kama mimi, natamani Argentina wachukue mzigo sababu ya La Pulga, mwamba amechuku kila kitu alichopaswa kuchukua isipokuwa World Cup, Mungu amfanyie wepesi.Linapofika suala la soka mambo mengine mengi yanakaa pemben! Binafsi naishanikia Argentina sababu ya Lionel Messi.
Ustadhi mbona umewakacha wavaa makobazi wenzakoWewe fanya mambo yako.
[emoji1033]
Binti ulitaka kusema nini?Ustadhi mbona umewakacha wavaa makobazi wenzako
Wa
Haijalishi
Kipigo ni kipigo tu wapigwe
Kama wewe sio mbaguzi basi shangilia timu zote 32!
Ushabiki ni kuharibu party za watu mkuu
Ndo maana kuna timu mbili na kila mtu anataka ashinde sasa wewe unavosema uachwe kuambiwa ukweli unakosea mkuu
Ajentina ni kikundi tu cha wahuni
Wapigwe tu
Amiina, yani mimi ni shabiki wa albiceleste kabla hata ya king Leo, the best player everrrrrKama mimi, natamani Argentina wachukue mzigo sababu ya La Pulga, mwamba amechuku kila kitu alichopaswa kuchukua isipokuwa World Cup, Mungu amfanyie wepesi.
Well saidKwa hiyo tushabikie mpira kwa kufuata historia? Mfano Uganda ingekuwa world cup sisi watanzania hatukutakiwa kui support kisa Idd Amin alipigana na sisi akawaua baadhi ya ndugu zetu Kagera?. Kama haya ndiyo mawazo ya watanzania wengi CCM itatawala dahari
Ndug mwandishi ubaguzi upo wapi Gonzalo Higuin alikuwa mweupe kingne Kama unajua Messi aliwahi kuwaambiwa achezee timu ya Taifa ya Spain alikataa na pia kusema kuwa kwenye passport mama mnigeria baba mcameroon mtoto mfaransa kwani walikosea au kusema ukweli ndo unageuka ubaguzi??¿?Waafrika tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya Kusini iliowafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.
Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.
Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrika kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.
Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.
Waafrika tuache upuuzi.