Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika
Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni wabaguzi wa RANGI.
Baadhi ya Comments nimekutananazo katika mtandao wa INSTAGRAM kuhusu timu ama matokeo ya mpira kwa tiketi ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Waarabu na waafrika ambao tukonao bara moja, maneno makali sana ya kibaguzi yakitolewa na watu weusi kwa waarabu,, hii sio poa tukemee ubaguzi, udini na ukabila ndugu zangu.
Baadhi ya comments zikiwalenga waarab