Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Eti tunakufahamu ni mwalabu [emoji1787] wagalatia bwana,, kwahiyo waafrika wote hawawapendi waarabu? Mpaka hapo ulipo umeshaonyesha wewe ni mbaguzi, na upo kichuki. Pole sana kwa maumivu kijana

Bhujiku ng'waka,
Wewe ni limbukeni wa warabu ndiyo maana unawatetemekea sana hao mpunda, au mumeo ni mwarabu nini.
 
Kumbe tatizo liko kwenye dini. Umejificha kwenye ubaguzi wa rangi kumbe udini ndio unakusumbua.

Kila la kheri nakutakia mfungo mwema.
Mkipewa ukweli mnakimbilia kwenye udini, hamuna hoja 😁

Na kama kuna Muislamu atamchukia mwarabu, maana yake hata Mtume Muhammad S.A.W pia utakua umemchukia. So huyo sio muumini wa kweli, bali ni muislamu jina, na hupaswi kuiga matendo yake.

NI NANI MUUMINI WA KWELI?

Ukishamjua huyo vizuri ukawa na yakini ya kutosha hautaweza kutetereka tena juu yake, kama Allaah سبحانه وتعالى anavyosema;

“Wenye kuamini kweli kweli ni wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake kisha wakawa si wenye shaka na wanaopigania dini ya Allah kwa mali zao na nafsi zao. Hao ndio wenye kuamini kweli kweli” (49:15)

Muislamu wa kweli humwogopa Allaah سبحانه وتعالى muda wote mahala popote kama Allaah سبحانه وتعالى anavyosema;

“Hakika Waumini ni wale ambao anapo tajwa Mwenyezi Mungu nyoyo zao hujaa khofu, na wanapo somewa Aya zake huwazidisha Imani, na wakamtegemea Mola wao Mlezi” [8:2]
 
Wewe ni limbukeni wa warabu ndiyo maana unawatetemekea sana hao mpunda, au mumeo ni mwarabu nini.

Tukana yote, lakini ukweli nimewapa na muufanyie kazi

الحمد الله: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ جَاءَكُمْ فَاسِقٌ بِنَبَإٍ فَتَبَيَّنُوا أَنْ تُصِيبُوا قَوْمًا بِجَهَالَةٍ فَتُصْبِحُوا عَلَىٰ مَا فَعَلْتُمْ نَادِمِينَ
Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

الحمد الله: وَاعْلَمُوا أَنَّ فِيكُمْ رَسُولَ اللَّهِ ۚ لَوْ يُطِيعُكُمْ فِي كَثِيرٍ مِنَ الْأَمْرِ لَعَنِتُّمْ وَلَٰكِنَّ اللَّهَ حَبَّبَ إِلَيْكُمُ الْإِيمَانَ وَزَيَّنَهُ فِي قُلُوبِكُمْ وَكَرَّهَ إِلَيْكُمُ الْكُفْرَ وَالْفُسُوقَ وَالْعِصْيَانَ ۚ أُولَٰئِكَ هُمُ الرَّاشِدُونَ
Na jueni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu yuko nanyi. Lau angeli kut´iini katika mambo mengi, bila ya shaka mngeli taabika. Lakini Mwenyezi Mungu amekupendezeeni Imani, na akaipamba katika nyoyo zenu, na amekufanyeni muuchukie ukafiri, na upotovu, na uasi. Hao ndio walio ongoka,

الحمد الله: فَضْلًا مِنَ اللَّهِ وَنِعْمَةً ۚ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ
Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na neema zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima.
 
Mkipewa ukweli mnakimbilia kwenye udini, hamuna hoja 😁

Na kama kuna Muislamu atamchukia mwarabu, maana yake hata Mtume Muhammad S.A.W pia utakua umemchukia. So huyo sio muumini wa kweli, bali ni muislamu jina, na hupaswi kuiga matendo yake.

NI NANI MUUMINI WA KWELI?

Ukishamjua huyo vizuri ukawa na yakini ya kutosha hautaweza kutetereka tena juu yake, kama Allaah سبحانه وتعالى anavyosema;

“Wenye kuamini kweli kweli ni wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake kisha wakawa si wenye shaka na wanaopigania dini ya Allah kwa mali zao na nafsi zao. Hao ndio wenye kuamini kweli kweli” (49:15)

Muislamu wa kweli humwogopa Allaah سبحانه وتعالى muda wote mahala popote kama Allaah سبحانه وتعالى anavyosema;

“Hakika Waumini ni wale ambao anapo tajwa Mwenyezi Mungu nyoyo zao hujaa khofu, na wanapo somewa Aya zake huwazidisha Imani, na wakamtegemea Mola wao Mlezi” [8:2]
Kwahio unawafananisha waarabu na Mtume Muhammad S.A.W?

Unajua kwamba kuna waarabu wa kristo pia au hujui?

Acha udini hautakusaidia chochote. Jenga hoja vizuri sio unakimbilia udini.
 
Kwahio unawafananisha waarabu na Mtume Muhammad S.A.W?

Unajua kwamba kuna waarabu wa kristo pia au hujui?

Acha udini hautakusaidia chochote. Jenga hoja vizuri sio unakimbilia udini.
Hapa nazungumzia waumini wakweli/waisilamu, au hujui maana ya muumini? Hao waarabu wakristo wameingiaje kwenye hoja yangu!! Unatafuta ligi kijana, tusiharibiane funga tafadhali aise.

Kwanza mimi sio mdini, wakemee hao wanaochukia waarabu bila sababu,,, mimi ni muislamu na pia sipendi kusikia wala kuona akisemwa vibaya mwarabu/muislamu mwenzangu nami ninyamaze,,, wewe kama unawaunga makafiri ni wewe, lakini uisilamu hautufundishi kuchukia watu.

Kama wewe ni muislamu wakweli utakua umenielewa, maana mpaka aya nimekutolea.

Narudia tena, uisilamu hautufundishi kuchukiana,,,hata awe mzungu, mhindi, mwarabu, mwafrika, mchina n.k lakini tusiwachukie hata kidogo, bali tuchukie matendo yao.
 
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Viarabu viwili vitatu kukuonyesha weye mweusi kuwa wanakupenda kwa kuwa unawabebea masanduku ya fedha ni sawa!! kwa uaminifu huo lkn siku ukijichanganya ndo utajua kuwa hujui!

Hata ufanyeje hawatakupenda sasa km mtu hanipendi kwa nini nimshobokee!!..... tena hawa waarabu wamezaliwa na weusi lkn kwa kujitenga heee!!....... wanatamani uzungu lkn huko hawatakiwi wana waita weusi na

huku africa nako hawatutaki yaani huwa nacheeeka mpaka basi!..si hao tu hata wagiriki hawapendwi ulaya wanaona wako kiafrica zaidi...yaani dhambi y ubaguzi imewatafuna mpakaaaaa
 
Back
Top Bottom